21/01/2026
Mambo muhimu ya kuzingatia kwa mteja kabla ya kununua Hdpe liner
>Aina ya mradi au matumizi ya mradi- Je unahitaji karatasi kwaajili ya kufugia samaki, kuhifadhi kemikali,Pia kujua Urefu na upana wa bwawa lako. Hivyo basi itakusaidia kununua kiasi cha karatasi kutokana na mradi unaotaka kuanza.
>Ubora wa HDPE Liner- Hakikisha unachagua karatasi yenye ubora wa kimataifa k**a ISO, Uwezo wa kuhimili kemikali na kuchagua unene( thickness)unaofaa kutokana na aina ya mradi.
>Ubora wa machine za kuunganisha karatasi kwa kampuni husika- Muhimu kuhakiki vifaa kwa kampuni unayotaka kununua liner ili kuweza kujihakikishia umadhubuti wa huduma kwa kampuni husika hii itakusaidia kutokuhangaika kutafuta mafundi baada ya kununua karatasi.
>Gharama na Muda wa utekelezaji- Mteja unapaswa kuwa na budget halisi kutokana na aina ya karatasi unayotaka kununua na mradi unaotaka kuuanza. Pia unapsawa kuuliza kwa mtaaalamu muda wa kuisha kwa mradi ili uweze kuweka mikakati kutokana na muda husika.
>Mawasiliano mazuri na Wataalamu husika- Hili humsaidia mteja kuweza kupata ufumbuzi wa haraka pindi changamoto inapotokea ktk mradi.
Trading Company limited # 255 627 699 347 #