01/05/2026
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani! π
Leo tunatambua juhudi, uzalendo na kujituma kwa wafanyakazi wote wanaochangia usalama na maendeleo ya jamii yetu.
Katika KS Security Co. Ltd, tunajivunia timu yetu ya walinzi wenye nidhamu, weledi na ujasiri mkubwa katika kuhakikisha usalama wako kila siku.
β¨ Usalama wako, kipaumbele chetu!
Asanteni kwa kazi yenu kubwa na mchango wenu katika kulinda maisha na mali.
Tanzania SecurityServices