Crown Paints Tanzania

Crown Paints Tanzania Crown Paints is the most innovative paint company in East Africa providing tailor made solutions to

Kabla ya kupaka vanish au rangi, hakikisha unatumia Crown Wood Master Sanding Sealer kuziba nyuzi za mbao na kuziacha zi...
11/06/2026

Kabla ya kupaka vanish au rangi, hakikisha unatumia Crown Wood Master Sanding Sealer kuziba nyuzi za mbao na kuziacha zikiwa nyororo kabisa. Inaleta ulinzi imara (Strong Protection), inaleta kung'aa kwa asili (Enhances Wood Grain), na kuacha umaliziaji laini usio na mfano (Smooth Finish).

​Linda uwekezaji wako, kuanzia ngazi, milango hadi samani za ndani.

K**a hujatumia PVA ya Crown Paints, Basi jua hujatumia PVA kabisa. Ndani ya mwonekano mpya wa kifahari, rangi isiyochubu...
09/06/2026

K**a hujatumia PVA ya Crown Paints, Basi jua hujatumia PVA kabisa. Ndani ya mwonekano mpya wa kifahari, rangi isiyochubuka wala kubabuka miaka na miaka.

PVA zetu zinapatikana kwa mawakala wote wa RANGI Tanzania.

Eid Mubarak kwenu na familia zenu.
27/05/2026

Eid Mubarak kwenu na familia zenu.

Kuta zako zinasema nini kukuhusu? Jipatie muonekano wa 'Silk' wenye kung'aa na unaodumu kwa muda mrefu ukitumia Crown Si...
22/05/2026

Kuta zako zinasema nini kukuhusu? Jipatie muonekano wa 'Silk' wenye kung'aa na unaodumu kwa muda mrefu ukitumia Crown Silk Vinyl Emulsion.

Kupitia Silk Vinyl ya Crown Paints utapata kuta laini k**a hariri (Silk finish), kuta inayosafishika kwa urahisi (Washable), na Rangi isiyochuja (Non-fading) kwa muda mrefu.

Badili muonekano wa nyumba yako leo! Ukiipenda....

Nyumba yako ni uwekezaji wa maisha, na inastahili ulinzi unaodumu. Kulinda kuta za nje dhidi ya jua kali, mvua, na unyev...
20/05/2026

Nyumba yako ni uwekezaji wa maisha, na inastahili ulinzi unaodumu. Kulinda kuta za nje dhidi ya jua kali, mvua, na unyevu haijawahi kuwa rahisi hivi!
​Ukiwa na Crown Permaplast, unapata uhakika wa muonekano mpya na ulinzi thabiti kwa zaidi ya miaka 5. Linda urembo wa mjengo wako sasa na bidhaa pendwa za rangi kutoka Crown Paints

Group CEO wa Crown Paints, Ndg. Mustafa Turra, akiwa pamoja na washirika wetu wa kibiashara kutoka Tanzania wakifurahia ...
18/05/2026

Group CEO wa Crown Paints, Ndg. Mustafa Turra, akiwa pamoja na washirika wetu wa kibiashara kutoka Tanzania wakifurahia nyakati nzuri nchini Morocco kwenye ziara ya Taji Elite Club 2026.

​Tunatengeneza kumbukumbu nzuri, tunaimarisha ushirikiano wetu, na kusonga mbele kwa pamoja k**a familia moja.

PAA la mjengo wako wala halihitaji mambo mengi. Linahitaji PVA ROOFMASTER kutoka Crown Paints ili kutunza ubora wake mia...
16/05/2026

PAA la mjengo wako wala halihitaji mambo mengi. Linahitaji PVA ROOFMASTER kutoka Crown Paints ili kutunza ubora wake miaka zaidi na zaidi.

Ule Mng'ao wa Rangi unayohitaji kwenye paa unapatikana kwenye bidhaa hii pendwa ya mafundi Tanzania. Sisi tunaaminika kwa ubora kwa kila alietumia rangi za Crown.

PVA hii inapatikana kwa mawakala wote wa Rangi Tanzania nzima..!

Hakuna janja janja, ukishatumia hii High Gloss mpya kutoka Crown Paints hutatumia High Gloss nyingine Tanzania. Na Sasa ...
11/05/2026

Hakuna janja janja, ukishatumia hii High Gloss mpya kutoka Crown Paints hutatumia High Gloss nyingine Tanzania. Na Sasa inapatikana kwa mawakala wetu wa rangi Tanzania nzima.

Usiwe wa mwisho, na usikubali kupitwa kwenye kuboresha na kujenga makazi yako kwa kupitia rangi za Crown Paints. Kampuni Namba Moja kwa ubora AFRIKA MASHARIKI.

To all mothers out there. We appreciate you.
10/05/2026

To all mothers out there. We appreciate you.

Hii ndio Wall Putty No. 1 Kwa kupendwa na kwa ubora Tanzania. Kwa fundi yoyote alieitumia anajua ubora wake.CROWNPLAST W...
07/05/2026

Hii ndio Wall Putty No. 1 Kwa kupendwa na kwa ubora Tanzania. Kwa fundi yoyote alieitumia anajua ubora wake.

CROWNPLAST WALL CEMENT PUTTY ya Crown Paints inapatikana kwa mawakala wetu wote wa rangi Tanzania. Usikubali kuwa wa mwisho kutumia bidhaa bora na pendwa za Crown Paints.

Address

Unga Limited Industrial Area
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 04:30
Tuesday 08:00 - 04:30
Wednesday 08:00 - 04:30
Thursday 08:00 - 04:30
Friday 08:00 - 04:30
Saturday 08:00 - 12:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Crown Paints Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category