ngiloaluminiu

ngiloaluminiu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ngiloaluminiu, Dar es Salaam.

16/02/2023
16/02/2023
09/12/2022

Aluminium doors 🚪🙌✨👌

07/12/2022

Balcony🔥🔥🔥🔥 ambayo. Imetulia. Haina maua maua. Mengi

inatambua kua kila mteja anapenda design yake

Tiazama picha hii haina makorokoro kibao ya maua ni plain

Imetulia haijakinaisha jengo/ Ngazinyetu inamuonekano wa kipekee

Ukihitaji kuona ubora na umuhimu wa balusters & balcony endelea kupitia post zetu

Kwenye jengo lako unahitaji mafundi wazoefu na wabishi 😂

wenye kutoa ushauri mzuri , wenye kuelewesha sio kupokea maagizo tu hata k**a mbovu

Hela ni yako lakini kuliko tutengeneze kazi iliofifia isiyoeleweka au kupendeza ni bora tukose kazi

Tutashauri kwa mdomo,✔️

tutashauri kwa picha na video's✔️

tutashauri kwa sample materials✔️

lengo letu ni. Kazi yetu kwako mteja wetu igeuke kuwa baraka kwetu wageni ,ndugu. & Jamaa waulize habari zetu

#0716 334 334✔️

#0782 969 011✔️

[email protected]✔️
iamlavalava

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0716334334

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ngiloaluminiu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ngiloaluminiu:

Share