30/10/2022
ASANTENI SANA WATEJA WETU KUENDELEA KUTUAMINI NA KUTUPA KAZI YA UJENZI WA MIFUMO YA MAJI TAKA YA KISASA(BIO-DIGESTERS).
TUNA MIFUMO K**A VILE-;
Watu 10
Watu 20
Watu 70
Watu 100
Watu 150
Watu 200
Watu 300
Watu 400
Watu 500
popote tunakufikia -:
✍🏽Tunahakikisha mfumo unafanya kazi kwa kiwango Cha juu kwa kukuwekea vimeng'enya.
✍🏽Tunajenga mfumo huu kwa umakini na umakini wa Hali ya juu.
✍🏽Mfumo unachukua nafasi ndogo.
✍🏽Mfumo unajengwa ndani ya siku 5 tu.
✍🏽Huchimbi mashimo makubwa na hujengi kwa amri.
✍🏽Mfumo unafanya kwenye chemichemi na mfinyazi.
✍🏽Mfumo hujai kamwe.
✍🏽Mfumo hunyonywi/kufuta maji machafu.
✍🏽Mfumo hautumii umeme.
✍🏽Mfumo una mwonekano mzuri.
Tupigie simu.
Voda 0767212267.
Tigo 0672729484
Whatsap +255656306428