SDS System

SDS System Our service : CCTV Camera, Electric Fence, product sales, customer support and Networking

At SDS System, we have many years experience with video surveillance and communication system. We provide complete professional service and supply of CCTV equipment's. Our Goal is to provide solutions that match your needs cost effective with the flexibility to match future requirements and solution with ongoing support.

🏑 NYUMBA YAKO IKO SALAMA?Wizi na uvunjaji wa nyumba unaweza kutokea popote, na mara nyingi huathiri familia na mali zisi...
29/03/2026

🏑 NYUMBA YAKO IKO SALAMA?

Wizi na uvunjaji wa nyumba unaweza kutokea popote, na mara nyingi huathiri familia na mali zisizokuwa za thamani ndogo.

πŸ“Ή Kwa kufunga CCTV nyumbani, unaweza:
βœ… Kufuatilia milango na maeneo yote muhimu masaa 24
βœ… Kuzuia wizi na uvunjaji wa nyumba
βœ… Kufuatilia wageni na wageni wasio wa kawaida
βœ… Kuangalia nyumba ukiwa mbali kupitia simu au tablet
βœ… Kutoa ushahidi wa matukio k**a ajali ndogo au uharibifu

πŸ“ Maeneo muhimu ya kufunga kamera nyumbani:

Lango kuu la kuingia
Parking / eneo la magari
Backyard / sehemu za mashamba
Corridor / mlango wa nyuma
Sehemu muhimu ndani ya nyumba k**a living room au veranda

⚠️ Usisubiri mpaka tatizo litokee, linda nyumba yako leo.

πŸ“ž Tunatoa ushauri na ufungaji wa CCTV kwa nyumba za kuishi, hoteli, lodge na biashara.
πŸ’¬ Wasiliana nasi kwa ushauri wa bure na ufungaji wa mfumo wa usalama.

πŸ—οΈ JE, SITE YAKO YA UJENZI IKO SALAMA?Maeneo mengi ya ujenzi hupoteza vifaa k**a nondo, cement, tools na mashine hasa wa...
29/03/2026

πŸ—οΈ JE, SITE YAKO YA UJENZI IKO SALAMA?

Maeneo mengi ya ujenzi hupoteza vifaa k**a nondo, cement, tools na mashine hasa wakati wa usiku.

πŸ“Ή Mfumo wa CCTV unaweza kusaidia:

βœ… Kufuatilia shughuli zote za site masaa 24
βœ… Kuzuia wizi wa vifaa vya ujenzi
βœ… Kufuatilia kazi za wafanyakazi
βœ… Kutoa ushahidi wa matukio au ajali
βœ… Kuangalia maendeleo ya ujenzi kupitia simu yako ukiwa mbali

πŸ“ Maeneo muhimu ya kuweka kamera kwenye site:

Lango la kuingia (site entrance)
Sehemu ya kuhifadhi vifaa (store)
Eneo la mashine na vifaa vizito
Maegesho ya magari
Maeneo yenye shughuli nyingi za wafanyakazi

⚠️ Usisubiri mpaka vifaa vipotee ndipo ufikirie usalama.

πŸ“ž Tunatoa huduma za ushauri na ufungaji wa CCTV kwa site za ujenzi, nyumba, lodge, supermarket na ofisi.

πŸ’¬ Wasiliana nasi kwa ushauri wa bure.

21/03/2026
πŸ›’ JE, SUPERMARKET YAKO INAKULINDA AU INAPOTEZA FAIDA KIMYA KIMYA?Wamiliki wengi wa supermarket wanafikiri hasara inatoka...
28/02/2026

πŸ›’ JE, SUPERMARKET YAKO INAKULINDA AU INAPOTEZA FAIDA KIMYA KIMYA?

Wamiliki wengi wa supermarket wanafikiri hasara inatokana na wateja tu.
Lakini ukweli ni huu:

πŸ”Ž Upotevu mwingi unatokea:
Eneo la cashier
Ghala (store)
Sehemu zisizoonekana vizuri
Muda wa zamu za usiku

Bila mfumo mzuri wa CCTV unaweza:
❌ Kupoteza bidhaa bila kujua
❌ Kukosa ushahidi wa matukio
❌ Kupata migogoro ya wateja bila uthibitisho
❌ Kushindwa kufuatilia mienendo ya wafanyakazi

🎯 CCTV Sahihi kwa Supermarket Inapaswa:

βœ… Kuonyesha wazi sura za watu mlangoni
βœ… Kufuatilia miamala ya cashier
βœ… Kuzingatia shelves za bidhaa zenye thamani
βœ… Kuwa na storage ya angalau siku 30+
βœ… Kuwa na backup ya umeme
βœ… Kuonekana live kupitia simu yako popote ulipo

πŸ’‘ Swali la Kujiuliza:
Kamera zako zinalinda biashara yako au zinaishia kurekodi tu?
Tunasaidia supermarket:
Kufunga mfumo wa kisasa

Kuweka kamera maeneo sahihi

Kupunguza upotevu wa bidhaa

Kulinda faida yako

πŸ“© Tuma neno β€œSUPERMARKET” hapa chini au inbox tupange tathmini ya bure ya eneo lako.

Biashara yako ni mali β€” ilinde kwa mfumo sahihi.

RIPOTI YA BUREKwa Nini Watu Wengi Wana CCTV Lakini Bado Hawajisikii SalamaUtanguliziWatu wengi hufunga CCTV wakiamini wa...
16/02/2026

RIPOTI YA BURE
Kwa Nini Watu Wengi Wana CCTV Lakini Bado Hawajisikii Salama
Utangulizi
Watu wengi hufunga CCTV wakiamini watapata usalama wa kweli.
Lakini bado wana wasiwasi, hawawezi kutambua wahusika, na wakati wa tukio video haisaidii.
Sababu 5 Kuu:
1. Kamera zimefungwa vibaya – Pembe mbaya, juu sana, unaona kivuli sio uso.
2. Night vision hafifu – Usiku picha ni giza au zimeungua.
3. Hakuna backup ya umeme – Umeme ukikata, mfumo unazimika.
4. Hakuna remote viewing – Huwezi kuangalia kwenye simu ukiwa mbali.
5. Hakuna maintenance – Mfumo unaharibika bila wewe kujua.
CCTV Nzuri Inapaswa:
- Kukuwezesha kutambua uso
- Kukupa amani ya akili
- Kuzuia wizi
- Kutoa ushahidi halali
Hitimisho
Watu wengi hawana tatizo la kukosa CCTV, bali tatizo ni kufunga vibaya.
Hatua Inayofuata:
Pata site survey ya bure ili kujua k**a CCTV yako inakulinda au inarekodi tu.
wasiliana nasi Kupitia no: 0782002590

CCTV for Day Care OwnersWamiliki wa Day Care, Je Mna Hakika Mtoto Yuko Salama Kila Muda? πŸ‘ΆπŸ“ΉWazazi wengi siku hizi wanach...
11/02/2026

CCTV for Day Care Owners
Wamiliki wa Day Care, Je Mna Hakika Mtoto Yuko Salama Kila Muda? πŸ‘ΆπŸ“Ή
Wazazi wengi siku hizi wanachagua day care kulingana na usalama.
CCTV si kwa ajili ya kurekodi tu β€” ni kwa ajili ya uaminifu na uwajibikaji.
Faida za CCTV kwenye Day Care:
βœ… Ulinzi wa watoto – unajua kinachoendelea kila muda
βœ… Ulinzi wa wafanyakazi – inalinda dhidi ya tuhuma zisizo za kweli
βœ… Uaminifu kwa wazazi – wazazi wanajiamini zaidi kukuacha watoto wao
βœ… Ushahidi – endapo kuna tukio lolote, kuna rekodi
βœ… Udhibiti wa nidhamu – wafanyakazi wanakuwa makini zaidi
Maeneo muhimu ya kufunga kamera:
Getini / Mlango
Sehemu ya kuchezea watoto
Darasa / chumba cha kulala
Ofisi ya walimu
Store
Day care sio Biashara tu, ni dhamana ya maisha ya watoto.
Kamera nzuri:
Zinaonekana live kwenye simu
Zinarekodi 24/7
Zina backup hata umeme ukikatika
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa ukaguzi wa bure (Free site survey)
Tutakusaidia kupanga mfumo unaofaa kulingana na ukubwa wa day care yako.

Piga : 0782002590
Whatsapp: 0782002590

CCTV for Day Care OwnersWamiliki wa Day Care, Je Mna Hakika Mtoto Yuko Salama Kila Muda? πŸ‘ΆπŸ“ΉWazazi wengi siku hizi wanach...
11/02/2026

CCTV for Day Care Owners
Wamiliki wa Day Care, Je Mna Hakika Mtoto Yuko Salama Kila Muda? πŸ‘ΆπŸ“Ή

Wazazi wengi siku hizi wanachagua day care kulingana na usalama.
CCTV si kwa ajili ya kurekodi tu β€” ni kwa ajili ya uaminifu na uwajibikaji.

Faida za CCTV kwenye Day Care:
βœ… Ulinzi wa watoto – unajua kinachoendelea kila muda
βœ… Ulinzi wa wafanyakazi – inalinda dhidi ya tuhuma zisizo za kweli
βœ… Uaminifu kwa wazazi – wazazi wanajiamini zaidi kukuacha watoto wao
βœ… Ushahidi – endapo kuna tukio lolote, kuna rekodi
βœ… Udhibiti wa nidhamu – wafanyakazi wanakuwa makini zaidi

Maeneo muhimu ya kufunga kamera:

Getini / Mlango

Sehemu ya kuchezea watoto

Darasa / chumba cha kulala

Ofisi ya walimu

Store

Day care sio Biashara tu, ni dhamana ya maisha ya watoto.

Kamera nzuri:

Zinaonekana live kwenye simu

Zinarekodi 24/7

Zina backup hata umeme ukikatika

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa ukaguzi wa bure (Free site survey)
Tutakusaidia kupanga mfumo unaofaa kulingana na ukubwa wa day care yako.

Wamiliki wengi wa baa hufikiria CCTV ni kwa ajili ya wizi tu, lakini kiuhalisia CCTV ni chombo cha usimamizi wa biashara...
08/02/2026

Wamiliki wengi wa baa hufikiria CCTV ni kwa ajili ya wizi tu, lakini kiuhalisia CCTV ni chombo cha usimamizi wa biashara.

1️⃣ CCTV SI KWA WIZI TU

Kwa baa, changamoto kubwa ni:

-Wizi wa pesa kwenye counter

-Stock kupungua bila maelezo

-Wafanyakazi kutozingatia muda au taratibu

-Ugomvi wa wateja

-Malalamiko bila ushahidi

πŸ“Ή CCTV hutoa ushahidi halisi (visual proof) – si maneno.

2️⃣ SEHEMU MUHIMU ZA KUFUNIKA KWENYE BAA

Kwa ufungaji mzuri, kamera zinapaswa kuwekwa:

πŸ”Έ Bar counter (pesa & mauzo)

πŸ”Έ Store ya vinywaji

πŸ”Έ Mlango wa kuingilia & kutoka

πŸ”Έ Eneo la kukaa wateja

πŸ”Έ Parking (k**a ipo)

Hii husaidia kujua nani alifanya nini, lini na wapi.
πŸ“ Tunafanya site survey ya bure

Biashara inayofanya pesa inahitaji ulinzi wa kisasa.
Wasiliana nasi leo β€” kabla hasara haijatokea.

Je, unajisikia salama nyumbani kwako kweli?Au kamera zako zinarekodi tu bila kukulinda kikamilifu?πŸ”’ Tunatoa huduma za ki...
02/02/2026

Je, unajisikia salama nyumbani kwako kweli?
Au kamera zako zinarekodi tu bila kukulinda kikamilifu?

πŸ”’ Tunatoa huduma za kitaalamu za CCTV Installation kwa nyumba:

βœ” Ufungaji wa kamera za ndani & nje
βœ” Kuona matukio live kupitia simu (Android/iPhone)
βœ” Rekodi 24/7 na playback
βœ” Backup system endapo umeme ukikatika
βœ” Ubora wa HD & Night Vision
βœ” Ufungaji safi na wa kudumu

Faida kwako:

Linda familia na mali zako

Ushahidi wa video endapo tukio litajitokeza

Amani ya moyo hata ukiwa mbali na nyumbani

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa site survey ya bure
Tunakupa ushauri kulingana na ukubwa wa nyumba yako na bajeti yako.

Usisubiri mpaka tukio litokee β€” chukua hatua sasa!

Walidhani Duka Lao Liko Salama β€” Mpaka Kamera Zilipoonesha Ukweli.Kufuli, uzio au mlinzi peke yake havitoshi.Bidhaa hupo...
25/01/2026

Walidhani Duka Lao Liko Salama β€” Mpaka Kamera Zilipoonesha Ukweli.

Kufuli, uzio au mlinzi peke yake havitoshi.
Bidhaa hupotea. Migogoro haina ushahidi.

πŸ“Ή CCTV inakuonesha kila kinachotokea β€” mchana na usiku.
πŸ“± Tazama duka lako moja kwa moja kwenye simu.

βœ… Huondoa blind spots
βœ… Ushahidi halisi wakati wa matatizo
βœ… Amani ya moyo ukiwa popote

πŸ“ Maduka | Nyumba | Ofisi

πŸ‘‰ Tuma ujumbe (Inbox) au WhatsApp sasa
Usisubiri tatizo litokee ndipo uweke CCTV

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 17:00
Sunday 12:00 - 17:00

Telephone

+255782002590

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SDS System posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share