Angel Mobile Garage

Angel Mobile Garage Angel Mobile Garage deals: Engine oil exchange, Gearbox exchange, Oil filter, Air cleaner, and all car services. Just call 0782 054 100

We can reach home, work or anywhere in Dar Es Salaam with ease.

03/10/2022
Tunafaya services aina zoteEurope cars na Toyota carsNa spare pia zinapatikana kabisa piga simu hapo kwenye bio yetu uta...
03/10/2022

Tunafaya services aina zote
Europe cars na Toyota cars
Na spare pia zinapatikana kabisa piga simu hapo kwenye bio yetu utaziona....
Karibu snaa tunawafata hata nyumbani

Je, UNAJUA KUWA UNAWEZA FANYA SERVISE YA GARI NYUMBANI KWAKO?  inakuletea servise hadi mlangoni kwako ushidwe tu ww mtej...
21/01/2021

Je, UNAJUA KUWA UNAWEZA FANYA SERVISE YA GARI NYUMBANI KWAKO?
inakuletea servise hadi mlangoni kwako ushidwe tu ww mteja wetu, epuka kupoteza mda kwenda kutafuta sehemu za kufanyia servise akati unaweza tulia nyumbani tukakufikia, tunakufanya ujisikie amani na furaha kwa huduma zetu na pia utahisi usalama na gari yako, kwakuwa unaangalia kila kitu tunachofanya. Wasiliana nasi kwa namba /whatsapp +255 782- 054 100

Weekend ndo hiyo inaanza........ Kwa wale wateja mpka wasikie mara sterling ngumu, mara brake hazikanyagi, mara brake pa...
15/01/2021

Weekend ndo hiyo inaanza........ Kwa wale wateja mpka wasikie mara sterling ngumu, mara brake hazikanyagi, mara brake pad zimeeisha, feni belt haizunguki sasa weekend ndo mda wako sasa wakufanya gari lako liwe kweny muonekanao mzuri, na kumbuka kwa wateja ambao ni wanafanya kazi masaa 24, wanakosa mda wakufanya gari servise ipo kwa ajili yenu kuwafata nyie wateja popote mlipo nakufanya gari servise wasiliana nasi kwa namba zifuatazo.
Piga +255 782 054 100
Whatsapp +255 718 934 941

Je, UNAKUMBUKA KUANGALIA MFUMO WA ENGINE KWENYE KUBADILISHA OIL?Najua wengi wetu wikiend ndio siku ya kufanya servise ma...
12/01/2021

Je, UNAKUMBUKA KUANGALIA MFUMO WA ENGINE KWENYE KUBADILISHA OIL?
Najua wengi wetu wikiend ndio siku ya kufanya servise magari yetu, ni jukumu lako kuhakikisha usalama wa gari lako, sio mpka usikie brake pad zimeisha, mara sterling ngumu, mara brake hazikanyagi, feni belt kukatika, kwanini uteseke fanya gari lako la thamani ya juu fanya servise kwa wakati na kwa wateja wetu ambao wanafanya kazi masaa 24 wanakosa mda wakufanya servise Angel Mobile Garage tupo kukufikia wewe mteja popote ulipo maana ndo kazi yetu kumfanya mteja awe na furaha, Sasa Tupigie tukufanyie servise kwa haraka na wakati, Karibu sana
Call/whatsapp : +255 782 054 100

Vifaa vyote vya kufanyia service’s ya gari inapatikana kwa bei nafuu, nikuwasiliana nasi kwa namba +255 782 054 100, na ...
08/01/2021

Vifaa vyote vya kufanyia service’s ya gari inapatikana kwa bei nafuu, nikuwasiliana nasi kwa namba +255 782 054 100, na pia unaweza piga namba hiyo ukihitaji servise ya gari yako mahali popote ulipo tunakufikia kwa haraka snaa, save mda wako epuka kutoka kwenda kutafuta sehemu ya kufanya servise relax nyumbani, tukufate.

Address

Tegeta Kwa Ndevu
Dar Es Salaam
255718934941

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Angel Mobile Garage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share