maishuu_electronics

maishuu_electronics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from maishuu_electronics, Kinyerezi, Dar es Salaam.

Tunapenda kukujulisha kuwa sisi ni watoaji wa huduma bora tu,zilizosafi na zenye mvuto kwa kutumia vifaa bora (Good Quality) na guarantee 100% katika ufungaji wa:

-CCTV CAMERA
-ELECTRIC FENCE
-AUTOMOTIVE GATE MOTOR
-INTERCOM SYSTEM
-ALARM SYTEM N.K

Kazi Safi ya Electric fence ikiendelea ndani ya BAGAMOYO...Tupe eneo lako tukuridhishe na kazi zetu kwa ubora, Imani, ua...
22/01/2025

Kazi Safi ya Electric fence ikiendelea ndani ya BAGAMOYO...Tupe eneo lako tukuridhishe na kazi zetu kwa ubora, Imani, uaminifu na uiamara.

Tumejipanga, Tumejiboresha zaidi kukuletea huduma Murua huduma nzuri za kufunga Electric fence ndani ya eneo lako.

Usidhani kila anae weka Electric fence au cctv camera nyumban kwake kuwa anapesa saaana..la hasshaa.Ila anajijali, anaijali na kuipenda familia yake kwa kuiwekea mipaka ya kiulinzi na usalama kwa bajeti hiyohiyo ndogo aliyokuwa nayo mfukoni.

Uhai wetu, afya zetu na uzima ni vitu muhimu sana kwetu na kwa familia zetu... epuka kusema "ningeli fanya...." baada ya kupata miskusuko ila chukua hatua za mapema kwa hichohicho kidogo ulichonacho mfukoni.

Vifaa hivi k**a Electric fence au CCTV camera au Gate Motor huwa mara nyingi sana humpa AMANI ya moyo na utulivu hasa nyakati za usiku akiwa nyumban kwake yeye na familia yake.

Karibuni maishuu_electronics tukupatie huduma hizi kwa unafuu zaidi na kwa ushauri.
Wasiliana nasi kwa
0714 890 944
Kinyerezi mwisho
Dar Es salaam. .

.
"Never let your mind sleep"
.

"*UADILIFU* ndio ngao ya msingi katika uwajibikaji wa kutekeleza majukumu yako ya kila siku bila kudhulumu au kumpendele...
22/01/2025

"*UADILIFU* ndio ngao ya msingi katika uwajibikaji wa kutekeleza majukumu yako ya kila siku bila kudhulumu au kumpendelea yeyote kutokana na nafasi yako au cheo chako au pesa yako....

Ili uweze kupanda cheo duniani na akhera au kufanikiwa maisha yako basi tengeneza urafiki na Mungu wako kwa kuwa *mkweli,muaminifu na muadilifu*... Watakupenda watu kupitia mapenzi ya Mwenyezi Mungu atayokupenda wewe...

*"Na ukienda kinyume na kudhulumu haki za watu basi kilio cha mwenye kudhulumiwa hakina Pazia atapata haki yake mbingun kwa hakimu mkuu ile haki aliokosa duniani...."*

Chukua Hatua....

ELECTRIC FENCE NDAN YA DODOMA ikiendelea kufanyika kwa mteja wetu pendwa...wasiliana nasi maishuu_electronics kwa huduma bora pamoja na ufungaji wa CCTV camera, video Door Phone, Alarm system, FIRE Alarm, Gate Motor n.k0714 890 944 au 0768 401 161
Tanzania

.real.estate .imarket_apple_world_

Ukitaka magari mazuri utayapata  ndan ya magomen jijini Dar es Salaam..  tumekamilisha kufunga CCTv camera 9 ili ulinzi ...
22/01/2025

Ukitaka magari mazuri utayapata ndan ya magomen jijini Dar es Salaam.. tumekamilisha kufunga CCTv camera 9 ili ulinzi uendelee kutawala ndan ya eneo hili.Karibun sana maishuu electronics kwa huduma nzuri za CcTv Camera zenye viwango....
.

.real.estate .imarket_apple_world_

Asante MorogoroKazi Safi kazi nzuri kazi imenyooka kuliko Rula yenyewe."Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana k...
22/01/2025

Asante Morogoro
Kazi Safi kazi nzuri kazi imenyooka kuliko Rula yenyewe.

"Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana kwa mazingira yako kuwa katika usalama mzuri kwa kila mvamizi au mporaji. Ukubwa wa Gharama ya huduma katika kuimarisha usalama wako na familia hauna thaman sana kuliko USALAMA WENYEWE.

Wengi wanadharau jambo hili hata nia hawanalo moyoni mwao lakini umuhimu wake wanakuja kuutambua baada ya kupata majanga au misukosuko.

WAZAZI AU WALEZI WAZURI ni wale wenye kuzipa familia zao haki na wajibu stahiki ikiwemo Amani yao, Usalama wao, na kuwalinda kutokana na kila aina ya madhara na misukosuko yenye kuepukika....Kinga ni Bora kuliko Tiba.

Wasiliana na maishuu_electronics tukufungie ELECTRIC FENCE Kwa bei rafiki na rahisi sana na matumizi ya umeme ni madogo sana sana kwa mwezi...

1.Si rahisi kuuruka ukuta au kuugusa waya wa fence ni UZIO kwa wavamizi au wezi au vibaka..hii ni kiboko.

2. Akiukata au kuugusa kitalia king'ora kwa sauti kubwa sana tena sana.

3.Umeme ukikatika bado fence itaendelea kufanya kazi k**a kawaida

4.VIFAA vyote havishiki kutu,Ni ALUMINIUM 100% PURE...Tunaanzia Line 8.

5.Hakuna nguzo itakayopinda au kuchomoka au kulegea kwa waya

6.Hakuna upotevu wa Power kwenye fence,nguvu ni ileile ole wao waje waguse au kukata waya usiku wataonja shubiri ya maumivu

7.Tunakupa warranty wa miezi18 kwa ubora wetu, chochote kitachohitaji marekebisho tutakuja bure kukurekebishia.

8.Gharama nafuu ubora ni NAMBA moja ndio maana guarantee 💯 😂.

9.Usafi wa Kazi na mpangilio pamoja na ubunifu ndio kimbilio letu.

10.Ni wafanyakazi wabobevu,wajuzi na wenye taaluma ya IT, Telecommunication, Electric na ELECTRONICS engineering n.k

11. Je unahitaji na zawadi??? Tupigie leo kabla ya offer kuisha...Kuna offer za CCTV CAMERA NA video Door Phone na Gate Motor.Je ni zipi hizoooo....TUPIGIE LEO Tushauriane tukusaidie

Ofisi zetu zipo TABATA KINYEREZI MWISHO
DAR ES SALAAM
0714 890 944.
..

🇹🇿

TUNA OFFER YAKO LEO... HII HAIJAWAHI KUTOKEA HATA SIKU MOJA."Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana kwa mazingir...
21/06/2024

TUNA OFFER YAKO LEO... HII HAIJAWAHI KUTOKEA HATA SIKU MOJA.

"Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana kwa mazingira yako kuwa katika usalama mzuri kwa kila mvamizi au mporaji. Ukubwa wa Gharama ya huduma katika kuimarisha usalama wako na familia hauna thaman sana kuliko USALAMA WENYEWE.

Wengi wanadharau jambo hili hata nia hawanalo moyoni mwao lakini umuhimu wake wanakuja kuutambua baada ya kupata majanga au misukosuko.

WAZAZI AU WALEZI WAZURI ni wale wenye kuzipa familia zao haki na wajibu stahiki ikiwemo Amani yao, Usalama wao, na kuwalinda kutokana na kila aina ya madhara na misukosuko yenye kuepukika....Kinga ni Bora kuliko Tiba.

Wasiliana na maishuu_electronics tukufungie ELECTRIC FENCE Kwa bei rafiki na rahisi sana na matumizi ya umeme ni madogo sana sana kwa mwezi...

1.Si rahisi kuuruka ukuta au kuugusa waya wa fence ni UZIO kwa wavamizi au wezi au vibaka..hii ni kiboko.

2. Akiukata au kuugusa kitalia king'ora kwa sauti kubwa sana tena sana.

3.Umeme ukikatika bado fence itaendelea kufanya kazi k**a kawaida

4.VIFAA vyote havishiki kutu,Ni ALUMINIUM 100% PURE...Tunaanzia Line 8.

5.Hakuna nguzo itakayopinda au kuchomoka au kulegea kwa waya

6.Hakuna upotevu wa Power kwenye fence,nguvu ni ileile ole wao waje waguse au kukata waya usiku wataonja shubiri ya maumivu

7.Tunakupa warranty wa miezi18 kwa ubora wetu, chochote kitachohitaji marekebisho tutakuja bure kukurekebishia.

8.Gharama nafuu ubora ni NAMBA moja ndio maana guarantee 💯 😂.

9.Usafi wa Kazi na mpangilio pamoja na ubunifu ndio kimbilio letu.

10.Ni wafanyakazi wabobevu,wajuzi na wenye taaluma ya IT, Telecommunication, Electric na ELECTRONICS engineering n.k

11. Je unahitaji na zawadi??? Tupigie leo kabla ya offer kuisha...Kuna offer za CCTV CAMERA NA video Door Phone na Gate Motor.Je ni zipi hizoooo....TUPIGIE LEO Tushauriane tukusaidie

Ofisi zetu zipo TABATA KINYEREZI MWISHO
DAR ES SALAAM
0714 890 944...

🇹🇿
https://www.instagram.com/p/CnhGfDQt7TK/?igsh=MWZlNmZtcDlka2I2NQ==

*OFFER HII SIO YA KUIKOSA NA ZAWADI NZURI TENA SANA Soma hadi chini uone zawadi pindi ukifungiwa Electric fence*《Ni offe...
21/06/2024

*OFFER HII SIO YA KUIKOSA NA ZAWADI NZURI TENA SANA Soma hadi chini uone zawadi pindi ukifungiwa Electric fence*
《Ni offer ya muda mfupi Iwahi mapema》

"SIKU HAZIWI SAWA..Jana, Leo na Kesho ni siku zisizofanana abadan... Usiwe na mazoea ya Jana ukitarajia kesho itakuwa Sawa na ya leo... Hali zinabadilika kila sekunde.Mazoea ya kuwa upo SALAMA kila siku bila kuchukua tahadhari sio mazoea mazuri NA wala usijiamini kupita kiasi.Muamini Mungu kisha chukua hatua.

●☆ Gharamika kutunza na kudumisha ♡AMANI na USALAMA ♡ wa mazingira yako ili kuepuka majuto baada ya mitihani au misukosuko ambayo kwa namna moja ama nyengine tungeweza kuizuia.

●Weka ELECTRIC FENCE Leo nyumban kwako kwa gharama nafuu kutoka . Tupo kwa ajili yako kila siku.

●Kazi zetu ni Safi, IMARA, zimenyooka, hakuna upotevu wa Power, ubora 100%, Aluminium 100%, warranty miezi 24 ya Matengenezo bureee na mashine ikiharibika tunakupa MPYAAA.

●Wasiliana nasi sasa hivi kwa
0714 890 944 au 0768 401 161
Tupo Kinyerezi mwisho
Dar es Salaam.

Moja ya zawadi hizi unaweza kujipatia
☆Sub woofer ya speaker 3
☆Blender
☆Simu ya mezani
☆Mabegi ya watoto ya shule
☆Router ya internet
☆Video Door Phone(kengele ya video ya mlangoni)
☆Simu ya Mkononi
☆ Tshirt na vikombe vya maishuu_electronics

https://www.instagram.com/p/CobkVMaNXds/?igsh=MWxyNzVqY25ydHg1OA==

 Tunawatakia waislamu woote nchi nzima na dunian kwa ujumla EID MUBAARAQ...Endelea kiwa nasi katika kuhakikisha usalama ...
10/04/2024

Tunawatakia waislamu woote nchi nzima na dunian kwa ujumla EID MUBAARAQ...

Endelea kiwa nasi katika kuhakikisha usalama wa mazingira yake yanaimarishwa zaidi

Huna sababu ya kushindwa kufanya kazi na maishuu_electronics sababu ni kampuni yenye kujiamini katika utendaji wake hasa...
25/01/2024

Huna sababu ya kushindwa kufanya kazi na maishuu_electronics sababu ni kampuni yenye kujiamini katika utendaji wake hasa katika swala Zima la ubora na uaminifu katika kazi zetu.

Tupe kazi UONE KAZI ZETU, Hatubabaishi katika kutekeleza majukumu yetu ya kila siku katika kuhakikisha nyumba za wateja wetu zinabaki salama siku zite.

ELECTRIC FENCE NDIO MPANGO MZIMA WA KUHAKIKISHA WANAO WANABAKI SALAMA.

WASILIANA NASI LEO KWA
0714 890 944 AU 0768 401 161
KINYEREZI MWISHO
KAZI MIKOA YOTE.
........
🇧🇮🇨🇵 🙌🙌🙌🙌🙌

*FAIDA 10 ZA KUFUNGA ELECTRIC FENCE NA MAISHUU_ELECTRONICS*Ulinzi ni muhimu sana nyumban kwako,Gharama ni nafuu Amua sas...
25/01/2024

*FAIDA 10 ZA KUFUNGA ELECTRIC FENCE NA MAISHUU_ELECTRONICS*

Ulinzi ni muhimu sana nyumban kwako,Gharama ni nafuu Amua sasa..*LINDA FAMILIA YAKO*
Uaminifu wetu ndio Tabia yetu iliozoeleka.

*1.* Si rahisi kuuruka ukuta au kuugusa waya wa fence uliofungwa na maishuu_electronics ni UZIO kwa wavamizi au wezi au vibaka..hii ni kiboko.

*2.* Tunatumia waya wa ALUMINIUM 100% PURE pamoja na Nguzo zake.Hazishiki kutu na zina mng'aro wa kuvutia.

*3.* Hakuna nguzo itakayopinda au kuchomoka kirahisi au kulegea kwa waya. 90° Lazima izingatiwe

*4.* Umeme ukikatika bado electric fence itaendelea kufanya kazi k**a kawaida(Unit za 10,000 za umeme kwa mwezi TOSHA KABISA).Vibaka wakiona umeme umekatika waache wajichanganye tu.

*5.* Hakuna upotevu wa nguvu "Power" kwenye fence,nguvu ni ileile ole wao waje waguse au kukata waya usiku wataonja shubiri ya maumivu.

*6.* Tunakupa warranty wa miezi 24 kwa ubora wetu, marekebisho tutakuja bure kukurekebishia.Mashine ikiharibika tutaitengeneza au kuibadili MPYAAA Pindi itakapohitajika kufanya hivyo.

*7.* MWIZI Akiukata au kuugusa waya kitalia king'ora kwa sauti kubwa sana tena sana lazima uamke au labda uwe umelala kufa.

*8.* Gharama nafuu ubora ni NAMBA moja ndio maana guarantee 💯 😂.

*9.* Usafi wa Kazi na mpangilio pamoja na ubunifu ndio kimbilio letu.Hatuchafui mazingira wala kuta zako na tukimaliza kazi Usafi kwanza.

*10*.Ni wafanyakazi wabobevu,wajuzi na wenye taaluma ya IT, Telecommunication, Electrical na ELECTRONICS engineering n.k

*Ofisi zetu zipo TABATA* *KINYEREZI MWISHO*
*DAR ES SALAAM*
*0714 890 944.*
*KAZI MIKOA YOTE*
.

🇹🇿

"Unapojenga nyumba nzuri tena za kisasa basi malizia uzuri wa nyumba yako kwa kuweka vifaa vitakavyosaidia ulinzi na kud...
25/01/2024

"Unapojenga nyumba nzuri tena za kisasa basi malizia uzuri wa nyumba yako kwa kuweka vifaa vitakavyosaidia ulinzi na kudumisha Amani na usalama nyumbani kwako"

Ikiwa wewe ni msafiri au upo kazini unaonaje ukifunga CCTV camera zitakazokusaidia kuona matukio yote ya nyumbani LIVE kupitia simu/laptop hukohuko ulipo??

Au ikiwa umefunga ELECTRIC FENCE ukaiacha familia imelala bila wasiwasi?

Au ikiwa umefunga VIDEO DOOR PHONE ukamjua anaegonga mlango kwa kumuona Live na kuongea nae kabla ya kumruhusu ndani? Au kumuona LIVE kupitia simu ukiwa mbali na nyumban na ukaongea nae?

Na kwanini ujipe shida kufungua gate kwa mikono wakati GATE MOTOR ipo ya kufungua na remote??

ndio suluhisho bora lenye uaminifu kwako na kazi yako.Ni nafuuu mnoooooo

SHAURIANA NA SISI LEO TUKUSAIDIE NDUGU YETU,MTEJA WETU.
TUNAFANYA SURVEY BURE KABISA
Tupigie/whatsap 0714 890 944/ 0768 401 161
.
...

.
🇹🇿

*FAIDA 10 ZA KUFUNGA ELECTRIC FENCE NA MAISHUU_ELECTRONICS*[offer ya Oct hadi Dec 2023 na ZAWADI K**A ZOTE] Tupigie simu...
19/10/2023

*FAIDA 10 ZA KUFUNGA ELECTRIC FENCE NA MAISHUU_ELECTRONICS*
[offer ya Oct hadi Dec 2023 na ZAWADI K**A ZOTE] Tupigie simu leo.

Ulinzi ni muhimu sana nyumban kwako,Gharama ni nafuu Amua sasa..*LINDA FAMILIA YAKO*
Uaminifu wetu ndio Tabia yetu iliozoeleka.

*1.* Si rahisi kuuruka ukuta au kuugusa waya wa fence uliofungwa na maishuu_electronics ni UZIO kwa wavamizi au wezi au vibaka..hii ni kiboko.

*2.* Tunatumia waya wa ALUMINIUM 100% PURE pamoja na Nguzo zake.Hazishiki kutu na zina mng'aro wa kuvutia.

*3.* Hakuna nguzo itakayopinda au kuchomoka kirahisi au kulegea kwa waya. 90° Lazima izingatiwe

*4.* Umeme ukikatika bado electric fence itaendelea kufanya kazi k**a kawaida(Unit za 10,000 za umeme kwa mwezi TOSHA KABISA).Vibaka wakiona umeme umekatika waache wajichanganye tu.

*5.* Hakuna upotevu wa nguvu "Power" kwenye fence,nguvu ni ileile ole wao waje waguse au kukata waya usiku wataonja shubiri ya maumivu.

*6.* Tunakupa warranty wa miezi 24 kwa ubora wetu, marekebisho tutakuja bure kukurekebishia.Mashine ikiharibika tutaitengeneza au kuibadili MPYAAA Pindi itakapohitajika kufanya hivyo.

*7.* MWIZI Akiukata au kuugusa waya kitalia king'ora kwa sauti kubwa sana tena sana lazima uamke au labda uwe umelala kufa.

*8.* Gharama nafuu ubora ni NAMBA moja ndio maana guarantee 💯 😂.

*9.* Usafi wa Kazi na mpangilio pamoja na ubunifu ndio kimbilio letu.Hatuchafui mazingira wala kuta zako na tukimaliza kazi Usafi kwanza.

*10*.Ni wafanyakazi wabobevu,wajuzi na wenye taaluma ya IT, Telecommunication, Electrical na ELECTRONICS engineering n.k

*Ofisi zetu zipo TABATA* *KINYEREZI MWISHO*
*DAR ES SALAAM*
*0714 890 944.*
*KAZI MIKOA YOTE*

🇹🇿

"Shukran sana kwa wateja wetu wanaoendelea kutuamini na kazi zetu.Hapa ni ufungaji wa IP CAMERA ColorVu miongoni mwa wat...
19/10/2023

"Shukran sana kwa wateja wetu wanaoendelea kutuamini na kazi zetu.Hapa ni ufungaji wa IP CAMERA ColorVu miongoni mwa wateja wetu kwa gharama nafuu."

Jali familia yako na ipende kwa kuiwekea ulinzi kwani CCTV camera inasaidia sana kuangalia matukio yanayoendelea nyumban au ofisin kwako au kuangalia matukio yaliokupita.

Wasiliana nasi maishuu_electronics leo tukushauri aina ya camera za kuzifunga pamoja na kujua gharama zake.

Tupigie
0714 890 944 au 0768 401 161
Kinyerezi mwisho Dar es Salaam
Tanzania.
.

🇹🇿

Address

Kinyerezi
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when maishuu_electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share