Kolwa paving

Kolwa paving Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kolwa paving, Paving & asphalt service, Dar es Salaam.

Tunajenga Sirabu ,tunajenga paving aina zote na kupanga rangi paving zilizofubaa ambazo zimepoteza muonekano wake Karibuni wote kwa huduma bora βœ…βœ…βœ…

08/03/2026

I got over 20 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

  kwamahitaji yakujengawa tiles kwa ubora utakao endana na taswira ya nyumba yako tupigie sasa 0785616896
15/02/2026

kwamahitaji yakujengawa tiles kwa ubora utakao endana na taswira ya nyumba yako tupigie sasa 0785616896

01/02/2026

tunabadilisha muonekano wa nyumba yako kwakujenga paving zenye ubora pamoja na slabu imala tupigie simu sasa 0743616897/0785616896

06/12/2025
18/09/2025

πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺifanye ndoto yako kuwa kweli na uwaminifu mkubwaπŸ’ͺπŸ’ͺnjoo tukuhudumie 0743616897

15/09/2025

🏨🏨KOLWA PAVEMENT
Slab &Tiles 🏠🏠🏠

🏠✨ Unataka nyumba yako iwe ya kisasa na yenye mwonekano wa kuvutia?
πŸ§±βœ… Piga sasa kwa huduma za paving blocks, slabs & tiles zenye ubora wa hali ya juu!
πŸ“ž +255 743 616 897
πŸ’ͺπŸŽ‰ Tunajenga kwa ubora, tunapanga kwa uhakika!

Hashtag:

29/08/2025

I got over 10 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

15/08/2025

---

πŸ—οΈ KOLWA PAVEMENT – Tunajenga kwa ubora, tunapanga kwa uhakika!
Unahitaji paving imara au slabu zinazodumu kwa miaka mingi?
Kolwa Pavement inakuletea huduma za kiwango cha juu:
βœ… Paving za kisasa, zenye muonekano maridadi
βœ… Slabu imara kwa matumizi ya nyumbani, biashara na taasisi
βœ… Ubunifu unaoendana na mahitaji yako
βœ… Ufungaji wa kitaalamu, haraka na safi

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 743 616 897
Kolwa Pavement – Ubora unaouona, uimara unaouamini.

-

07/08/2025

usisumbuke tena kuhusu swala zima la ujengaji paving za aina zote tutakujenge kwa bei nafuu sana kwanza sqmt moja Tsh7500/tu

05/08/2025

Je unahitaji kuwekewa pavin? Kolwa paving ndio suruhisho lako tunaweka paving aina zote ambazo hazioteshi majini na zenye muonekano mzuri ambao utaifanya nyumba yako kuwa na monekano wa kisasa na wenye kuvutia tupigie simu sasa tuje tuipe thamnani nyumba yako 0743616897

03/08/2025

Je!Unajiuliza wapi utapata mafundi wenye uhakika wa kujenga Sirabu? Au paving za kiasa?jibu ni rahisi KOLWA PAVEMENT ndio suruhisho lako tunapatikana Kinyerezi mwisho tabata

Address

Dar Es Salaam
11101

Telephone

+255743616897

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kolwa paving posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kolwa paving:

Share