Kiboko Paints Ltd.

Kiboko Paints Ltd. Mfalme Wa Ujenzi - Rangi / Tanki / Bomba / Mabati / Nondo / Misumari
(1)

Tumia rangi ya Kiboko Silk kwa kuta maridadi za ndani na Kiboko Weather Guard kwa kuta za nje nadhifu na zenye kinga dhi...
01/06/2026

Tumia rangi ya Kiboko Silk kwa kuta maridadi za ndani na Kiboko Weather Guard kwa kuta za nje nadhifu na zenye kinga dhidi ya hali yoyote ya hewa. Usingoje kusimuliwa.

Tunawatakia heri ya sikukuu ya Eid al-Adha. Tusherehekee kwa amani na furaha pamoja na familia zetu.
26/05/2026

Tunawatakia heri ya sikukuu ya Eid al-Adha. Tusherehekee kwa amani na furaha pamoja na familia zetu.

Iwe ni jua kali au mvua kubwa, kuta zako ziko salama. Kiboko Weather Guard imetengenezwa kuhimili mabadiliko yote ya hal...
26/05/2026

Iwe ni jua kali au mvua kubwa, kuta zako ziko salama. Kiboko Weather Guard imetengenezwa kuhimili mabadiliko yote ya hali ya hewa.

Linda na urembe samani zako za mbao. Kiboko Wood Varnish inarudisha mng'aro wa asili na kutoa ulinzi wa kudumu dhidi ya ...
25/05/2026

Linda na urembe samani zako za mbao. Kiboko Wood Varnish inarudisha mng'aro wa asili na kutoa ulinzi wa kudumu dhidi ya mikwaruzo.

Kidokezo cha upakaji rangi:Usiwe na haraka unapoanza kazi ya kupaka rangi. Umakini na utulivu wa mkono ndio siri ya kupa...
21/05/2026

Kidokezo cha upakaji rangi:
Usiwe na haraka unapoanza kazi ya kupaka rangi. Umakini na utulivu wa mkono ndio siri ya kupata matokeo ya kitaalamu na yenye mvuto.

Prevent rust and corrosion before they start. Protect all your metal surfaces with the durable shield of Kiboko Red Oxid...
18/05/2026

Prevent rust and corrosion before they start. Protect all your metal surfaces with the durable shield of Kiboko Red Oxide Primer.

Badili muonekano wa nyumba yako kwa mng’aro laini na wa kuvutia. Chagua Kiboko Silk kwa ajili ya kuta zenye hadhi ya har...
14/05/2026

Badili muonekano wa nyumba yako kwa mng’aro laini na wa kuvutia. Chagua Kiboko Silk kwa ajili ya kuta zenye hadhi ya hariri.

The right primer can; Increase paint durability, Enhance colour richness, reduce long-term maintenance costs. The secret...
11/05/2026

The right primer can; Increase paint durability, Enhance colour richness, reduce long-term maintenance costs. The secret to a perfect paint job lies in the preparation.

Heri ya Siku ya Mama.Kwa upendo usio na kifani, tunawatakia akina mama wote heri katika siku hii yenu maalum.
10/05/2026

Heri ya Siku ya Mama.
Kwa upendo usio na kifani, tunawatakia akina mama wote heri katika siku hii yenu maalum.

You too can reach for perfection.Kiboko Hi cover emulsion paint brings a flawless touch to every wall. Achieve the ultim...
07/05/2026

You too can reach for perfection.

Kiboko Hi cover emulsion paint brings a flawless touch to every wall. Achieve the ultimate professional finish.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255758818601

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiboko Paints Ltd. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kiboko Paints Ltd.:

Share