Electrical Installation

Electrical Installation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Electrical Installation, Tegeta, Dar es Salaam.

04/02/2024

0714 551 199

04/02/2024
HATUA TOKEA MWANZO ADI SASA TUMEWASHA JENGO USISITE KUTUPATIA KAZI YAKO NA SISI TUKUONYESHE UJUZI NA UBORA WETU KATIKA K...
21/11/2023

HATUA TOKEA MWANZO ADI SASA TUMEWASHA JENGO
USISITE KUTUPATIA KAZI YAKO NA SISI TUKUONYESHE UJUZI NA UBORA WETU KATIKA KAZI

MAWASILIANO YETU NI YALE YALE
0714 551 199

01/01/2023

HAPPY NEW YEAR MAFUNDI WOTE
MWAKA HUU UKAWE NA MAFANIKIO KATIKA KAZI ZENU

18/11/2022

HABARI ZA LEO WATU WANGU WA NGUVU NINA SWALI NAHITAJI USHAURI KUTOKA KWENU, JE NIFANYE NINI KATIKA PAGE YANGU ILI KUWASAIDIA MAFUNDI WENZETU WASIO NA KAZI, YAANI WAPO TU MTAANI?!

HABARI MAFUNDI WENZANGU" NAZUNGUMZA NA MAFUNDI WOTE MNAUTUMIA HICHO KIFAA KATIKA PICHA, ( MAARUFU K**A MULTMETER) NINAAM...
15/11/2022

HABARI MAFUNDI WENZANGU" NAZUNGUMZA NA MAFUNDI WOTE MNAUTUMIA HICHO KIFAA KATIKA PICHA, ( MAARUFU K**A MULTMETER) NINAAMINI KILA FUNDI ANAJUA UMUHIMU NA FAIDA ZAKE KATIKA KAZI, NAPENDA KUSHAURI KUA KILA FUNDI AMBAE HICHO KIFAA KINA MHUSU NI VYEMA AKAWA NACHO NI MUHIMU SANA ACHANA NA UFUNDI WA KUTEGEMEA TESTER KATIKA KAZI ZAKO ZA TROUBLESHOOT,

MAFUNDI NJOONi TUJIFUNZE KWA MAONI YA PAMOJA, UNAHISI TATIZO HILI LILISABABISHWA NA NINI HADI HII MAIN SWITCH KUUNGUA NA...
11/11/2022

MAFUNDI NJOONi TUJIFUNZE KWA MAONI YA PAMOJA, UNAHISI TATIZO HILI LILISABABISHWA NA NINI HADI HII MAIN SWITCH KUUNGUA NAMNA HII?!

Pambana kijana wetu, wewe ni nguvu kazi ya taifa
10/11/2022

Pambana kijana wetu, wewe ni nguvu kazi ya taifa

Address

Tegeta
Dar Es Salaam
2555

Telephone

+255714551199

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Electrical Installation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share