03/06/2026
Kuanza kujenga sio lazima uwe na mzigo wa mawazo.
Kwa BCC HOMES, tunakuongoza kutoka wazo lako la kwanza Hadi nyumba yako kukamilika - Kwa mpangilio, uwazi na bajeti inayoeleweka.
Tunatoa:
▫️RAMANI za kisiasa
▫️Ujenzi wa kitaalamu
▫️Makadirio ya ujenzi (BOQ & Cost Estimates)
▫️Stage - by - stage construction plan (plan ya ujenzi hatua Kwa hatua)
Unajengahatua Kwa hatua, bila presha.
Pata FREE CONSULTATION leo tuone jinsi ya kutimiza ndoto yako ya nyumba kwa uhakika.
📍 MAVUNO HOUSE, POSTA, DAR ES SALAAM
📞 +255787439934 / 0663581994