MajiFlow Tanzania

MajiFlow Tanzania Tunatoa huduma za ufungaji, ukarabati, na matengenezo ya mabomba ya maji kwa nyumba, ofisi na taasisi

30/05/2026

Karibu sana 😊! Asante kwa kuwasiliana nasi.
πŸ‘‰ Sisi ni wataalamu wa Biodigester Septic Tank na huduma zote za Plumbing.

Huduma zetu ni pamoja na:
βœ… Ufungaji wa Biodigester Septic Tank za kisasa (hakuna harufu, hakuna exhauster).
βœ… Matengenezo na ushauri wa mifumo ya majitaka.
βœ… Huduma zote za bomba (plumbing) – kuunganisha, kutengeneza na kusanifu mifumo ya maji safi na taka.
βœ… Ushauri wa kitaalamu na ukadiriaji wa gharama bila malipo.

πŸ“ž Tafadhali tuandikie mahitaji yako, na tutakuhudumia haraka.
🌍 Tunatoa huduma kwa nyumba binafsi, taasisi, shule, hospitali, hoteli na miradi mikubwa.
Wasiliana nasi kupitia nambar πŸ“žπŸ“žπŸ“žβ˜ŽοΈβ˜ŽοΈβ˜ŽοΈ0747009583 popote tunakufikia ndani ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ call 24hrs.

Address

50290
Dar Es Salaam
50290

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MajiFlow Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share