Alaf Bati tz

Alaf Bati tz Certified Dealer wa Bati za Rangi za Alaf kutoka Kiwandani Imara na Zinazo Dumu.

Ubora si maneno, ni matokeoπŸ’ͺβœ… Kila bati linapimwa kwa umakini kuhakikisha linakidhi viwango vya juu vya uimara na ulinzi...
16/09/2025

Ubora si maneno, ni matokeoπŸ’ͺβœ… Kila bati linapimwa kwa umakini kuhakikisha linakidhi viwango vya juu vya uimara na ulinzi wa nyumba yako. πŸ‘πŸ”

Ubora si maneno, ni kipimo! βœ… Kila bati letu hupimwa kuhakikisha unapata uimara, ulinzi na thamani ya kweli. Ukiweka ALA...
10/09/2025

Ubora si maneno, ni kipimo! βœ… Kila bati letu hupimwa kuhakikisha unapata uimara, ulinzi na thamani ya kweli. Ukiweka ALAF juu ya nyumba yako, unajenga historia yenye kudumu. 🏠πŸ’ͺ

🏠Kila paa lina historia yake..na Bati la ALAF Versatile ndilo msingi wa kumbukumbu za Kizazi hadi kizazi. Chaguo la kudu...
10/09/2025

🏠Kila paa lina historia yake..na Bati la ALAF Versatile ndilo msingi wa kumbukumbu za Kizazi hadi kizazi. Chaguo la kudumu, uzuri wa milele.

☎️0792 111 118

Tunawatakia wateja wetu Maulid Day njema πŸŽ‰πŸŒ™βœ¨ yenye furaha na baraka tele. Asanteni kwa kuendelea kutuamini πŸ™πŸ€
05/09/2025

Tunawatakia wateja wetu Maulid Day njema πŸŽ‰πŸŒ™βœ¨ yenye furaha na baraka tele. Asanteni kwa kuendelea kutuamini πŸ™πŸ€

πŸ”– Umewahi kuona alama ya mhuri wa moto kwenye bati za ALAF?Huu si urembo tu – ni dhamana ya uhalisia na ubora kutoka kiw...
05/09/2025

πŸ”– Umewahi kuona alama ya mhuri wa moto kwenye bati za ALAF?
Huu si urembo tu – ni dhamana ya uhalisia na ubora kutoka kiwandani.

βœ… Ni alama rasmi ya ALAF – inaonyesha bati lako ni halisi na si bandia
βœ… Ulinzi wa mteja – unalipa kwa bidhaa yenye thamani ya kweli
βœ… Uhakika wa uimara – bati linalodumu na kulinda nyumba yako kwa miaka mingi
βœ… Amani ya moyo – unajua umenunua bati la kiwanda lenye viwango vya kimataifa

🏑 Unapochagua ALAF, tafuta alama hii ya moto. Ndiyo ushahidi kuwa nyumba yako imelindwa kwa bati sahihi.

πŸ‘‰ ALAF – Ubora unaoonekana, ulinzi unaodumu

🏠Kupaua ni mara moja hivyo chagua kwa umakini na Chagua   sikuzote.πŸ“ž Mawasiliano: 0792 111 118πŸ“² Instagram: πŸ“ Tazara, Dar...
03/09/2025

🏠Kupaua ni mara moja hivyo chagua kwa umakini na Chagua sikuzote.
πŸ“ž Mawasiliano: 0792 111 118
πŸ“² Instagram:
πŸ“ Tazara, Dar es Salaam

✨ Nyumba yenye mvuto huanzia juu!Chagua bati ya Versatile kutoka ALAF ❀️ – uimara, ubora na mwonekano wa kifahari vinavy...
02/09/2025

✨ Nyumba yenye mvuto huanzia juu!
Chagua bati ya Versatile kutoka ALAF ❀️ – uimara, ubora na mwonekano wa kifahari vinavyodumu kwa miaka mingi.

πŸ“ž 0792 111 118
πŸ“ ALAF Tazara, Dar es Salaam
πŸ“² Insta:

🏑✨ Nyumba yenye Paa la Sky Blue kutoka ALAF haionekani tu maridadi, bali pia inadumu na kung’aa miaka nenda miaka rudi.C...
30/08/2025

🏑✨ Nyumba yenye Paa la Sky Blue kutoka ALAF haionekani tu maridadi, bali pia inadumu na kung’aa miaka nenda miaka rudi.
Chagua ubora, chagua ALAF πŸ’―

πŸ“ž 0792 111 118
πŸ“ Tazara – Dar es Salaam
πŸ“² Instagram:

🌟 Bando la Covermax Charcoal Grey = bei nafuu + uimara wa kudumu. 🏠 Chagua Covermax Charcoal Grey – paa lako libaki na m...
29/08/2025

🌟 Bando la Covermax Charcoal Grey = bei nafuu + uimara wa kudumu. 🏠 Chagua Covermax Charcoal Grey – paa lako libaki na mvuto wa kifahari milele!

πŸ“ž Mawasiliano: 0792 111 118
πŸ“² Instagram:
πŸ“ Tazara, Dar es Salaam

🏠Je, ulikua unafamu Tofauti hii?? Sasa tumekujuza Kazi kwako amua kuchagua unachotaka, amua kuchagua Ubora, Amua kuchagu...
29/08/2025

🏠Je, ulikua unafamu Tofauti hii?? Sasa tumekujuza Kazi kwako amua kuchagua unachotaka, amua kuchagua Ubora, Amua kuchagua
☎️0792 111 118

🏠Bati aina ya Maxcover Oda ya mteja wetu ikiwa tayari kuelekea site. Kila Hatua ni Historia karibu Utengeneze historia n...
27/08/2025

🏠Bati aina ya Maxcover Oda ya mteja wetu ikiwa tayari kuelekea site. Kila Hatua ni Historia karibu Utengeneze historia nasi .
Kwa oda
☎️0792 111 118

Address

Tazara
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alaf Bati tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share