Smart Choo Tanzania

Smart Choo Tanzania 🚽 Uchimbaji & Ujenzi wa Vyoo vya Kisasa
♻️ Havijai Kabisa | Havitowi harufu | Rafiki wa mazingira
📍Tunakufikia Popote Tanzania
☎️ Piga 0748602020

26/04/2026

KARIBU SMART CHOO TANZANIA KWA HUDUMA YA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA VISIVYO JAA
mashimo Haya yanafaa kwa ardhi yeyote k**a
👉Ardhi ya mfinyanzi
👉Ardhi ya chem chem ya maji
👉Ardhi ya mwamba
👉Ardhi ya kichanga

SIFA ZA MASHIMO HAYA
1) hayajai
2) hayatoi harafu
3) huchukua nafasi ndogo ya eneo
4) mda mchache kukamilika
5) gharama nafuu
6) huleta mwonekano mzuli
7)hupoteza majitaka pasipo kuvuta

YANAFAA KWENYE ASASI ZOTE K**A
🏕️ Makazi binafsi
🏘️Taasisi
🏥 Hospital
🏩 Kanisa
🕋 Msikiti

Tunapatikana dar es salaam pia tunafika mikoa yote tanzania 🇹🇿
0748602020

21/04/2026

USIKUBALI CHOO CHAKO KIWE TATIZO BAADAE! 🚧
Mashimo yetu ya kisasa yanajengwa kwa ubora wa hali ya juu kuhakikisha:
✅ Yanadumu kwa miaka mingi
✅ Hayaleti matatizo ya harufu
✅ Ni salama kwa mazingira
✅ Yanatumika kwa ufanisi mkubwa
📍 Tunafanya Site Visiting popote Tanzania
🏗️ Tunajenga Septic Systems imara na za kisasa
👉 Hii ndio kazi halisi – ubora unaonekana kwa macho!
Usisubiri hadi tatizo litokee…
Wasiliana nasi leo tukujengee suluhisho la kudumu!
📞 +255 748 602 020
Smart Choo Tanzania
Tunajenga kwa ubora, tunadumu kwa muda mrefu.

19/04/2026

Ziara ya kazi inaendelea 🚧

Safari hii, timu ya Smart Choo Tanzania inaelekea Nyanda za Juu Kusini kuhakikisha kila hatua ya utekelezaji wa miradi yetu inafanyika kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu.

📍 SUMBAWANGA
Tunafanya site visiting — kukagua eneo la mradi ili kubaini mahitaji halisi na kuamua aina pamoja na idadi sahihi ya mashimo yatakayowekwa.

📍 CHUNYA, MBEYA
Tunakwenda kutembelea site na kusimika mfumo wa choo kisichojaa (non-fill system) — suluhisho la kudumu, safi na rafiki kwa mazingira.

📍 MBEYA MJINI
Tunaendelea na utekelezaji wa mfumo wa choo kisichojaa k**a ilivyo Chunya — kuhakikisha jamii inapata huduma bora na endelevu.

Tunaamini usafi ni msingi wa afya bora, na kila hatua tunayochukua ni uwekezaji kwa maisha ya watu

16/04/2026

Ahsanteni sana Makao Makuu ya Polisi Dodoma kwa kutuchagua 🙏
Hii ni ishara kwamba huduma zetu zinaaminika – na wewe usibaki nyuma
0748602020

11/04/2026

Smart Choo Tanzania tunaendelea kutoa huduma ya uchunguzi kwa ufanisi mkubwa zaidi
Tunafika popote Tanzania kuhakikisha mifumo ya vyoo inafanya kazi vizuri na kudumu kwa muda mrefu.
Usisubiri tatizo liwe kubwa — wasiliana nasi mapema kwa suluhisho la kisasa na la uhakika.
Huduma zetu ni pamoja na:
✔️ Ukaguzi wa mfumo wa choo
✔️ Ushauri wa kitaalamu
✔️ Maboresho ya kisasa ya septic system
📞 Karibu Smart Choo Tanzania – Tupo kwa ajili yako mteja wetu!

Address

Dar Es Salam, Kinondoni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smart Choo Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category