ALAF Kigamboni

ALAF Kigamboni ALAF Kigamboni ni watengenezaji wa bidhaa bora za suluhisho za ujenzi kwa ajili ya matumizi ya watu binafsi, biashara na miradi tofauti.

ALAF Kigamboni inasifika kwa kuwa na bidhaa bora zaidi sokoni, na ndio maana tunasema ukiwa na ALAF, Ukiweka Umeweka!

21/04/2026
18/04/2026

Hii ndiyo raha ya kujenga na paa la uhakika. 🏡✨
Mazingira safi, muonekano wa kisasa, na paa linalolinda bila wasiwasi. Charcoal Grey chaguo la wanaoishi kwa kujiamini.👌🏾

Wasiliana nasi kupitia 0764166000

18/04/2026

Miaka nenda rudi, inabaki vile vile. Tembelea showroom ya ALAF karibu yako, chukua hatua, na uanze kujenga nyumba ya ndoto zako leo.

18/04/2026

Mvua? 🌧️
Jua kali? ☀️
Upepo mkali? 🌪️

Paa la limeundwa kustahimili hali zote za hewa bila kukupa presha.
Wewe tulia ndani ya nyumba yako, ufurahie maisha kwa amani na uhakika.

Nunua bati la upate dhamana ya uhakika ya miaka 15 🔥 Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kupitia 0764166000.

Maisha rahisi. Paa imara.

Wakati mwingine mtu anapita barabarani…Halafu anasimama tu kuangalia nyumba yako. 😍Muonekano wa   unaipa nyumba yako mwo...
18/04/2026

Wakati mwingine mtu anapita barabarani…
Halafu anasimama tu kuangalia nyumba yako. 😍

Muonekano wa unaipa nyumba yako mwonekano wa kigae wenye mvuto wa kipekee.

Chagua bati la leo, upate dhamana ya miaka 15 ya uhakika.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia 0764166000

See less

Address

Kigamboni, Kibada
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ALAF Kigamboni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share