Uchen Terrazzo Design Tz

Uchen Terrazzo Design Tz Wataalamu wa sakafu za terrazzo na finishing za kisasa Tanzania. Tunajenga sakafu imara inayodumu maisha yote.

🎯
26/05/2026

🎯

26/05/2026
⚡️💫
25/05/2026

⚡️💫

23/05/2026

Hebu vuta picha ukipumzika kwenye balcony k**a hii,huku upepo mwanana ukikupita, na sakafu yako ya Terrazzo yenye nakshi za kipekee iking'aa chini ya jua. �� Hiyo sio ndoto, ni huduma yetu. Tunatengeneza mazingira yanayokupa amani na fahari. Anza mradi wako leo!
WhatsApp +255742934620
"

Terrazzo safiUsikubali sakafu yako ififie wakati tunaweza kuipa maisha mapya! ✨ Tazama mabadiliko haya makubwa . Tunarud...
23/05/2026

Terrazzo safi
Usikubali sakafu yako ififie wakati tunaweza kuipa maisha mapya! ✨ Tazama mabadiliko haya makubwa . Tunarudisha mng'ao na hadhi ya nyumba yako kwa gharama nafuu. Sakafu yako iko tayari kung'aa leo? DM sasa kwa ushauri bure! 🏗️💎 "

28/04/2026

ifa you want to install terrazzo check me on

15/04/2026

Hatua za mwanzo kabla ngazi haijakamilika twende pamoja hadi ngazi itapokamilika hivi karibuni

Unahitaji fundi mwenye umakini na kazi yenye kiwango? Tunahusika na ujenzi wa ngazi (stairs) na finishing zote kwa ufund...
15/04/2026

Unahitaji fundi mwenye umakini na kazi yenye kiwango? Tunahusika na ujenzi wa ngazi (stairs) na finishing zote kwa ufundi wa hali ya juu. Wasiliana nasi leo tujenge pamoja! 📞+255742934620🏗️
"

FUNDI, USIISHIE KUSEMA "LETE NJUMU KALI"—SOMA HII HERUFI! 🇨🇳💎🔧​Habari za site wadau!​Leo, Uchen Terrazzo tunawashusha "d...
09/04/2026

FUNDI, USIISHIE KUSEMA "LETE NJUMU KALI"—SOMA HII HERUFI! 🇨🇳💎🔧
​Habari za site wadau!
​Leo, Uchen Terrazzo tunawashusha "darasa" kidogo. Mafundi wengi site wakiona makopo k**a haya wanasema tu, "Lete ile njumu ya bluu ya kukwaruza." Lakini, je, unajua rangi ya kopo pekee haitoshi?
​Siri kubwa ya kujua njumu yako ni ya hatua gani ipo kwenye hii herufi ya Kichina: 粗
​Mambo 3 ya kukumbuka leo:
​TAMKA "TSUU": Ukiona hii alama, inatamkwa "Tsuu."
​MAANA YAKE: Inamaanisha "Kali" au "Mkakamo" (Coarse). Hii ndio njumu ya Stage 1 inayotakiwa kwanza kabisa kuchomoza mawe.
​Utaalamu wa Uchen: Sisi hatubahatishi kwa "kusugua" mkononi; tunasoma lebo ili kuhakikisha hatua ya kwanza inafanywa kwa uhakika. Kutumia njumu laini hapa ni kupoteza muda na diesel!
​Fundi mwenzangu, geuza kopo lako sasa hivi. Unaona hiyo herufi?
​Je, unahitaji mafundi wanaojua sayansi ya sakafu na sio wabahatishaji? Wasiliana nasi Uchen Terrazzo kwa kazi yenye viwango.
​

Address

Chanika
Ilala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uchen Terrazzo Design Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share