T S construction company ltd

T S construction company ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from T S construction company ltd, Construction Company, mbezi mwisho, Kimara.

🏠 Mabingwa wa Ujenzi, Decoration& Finishing za Kisasa,Tiles,ukarabati
πŸ”¨ Tunajenga kwa Ubora, Kasi na Uaminifu.
πŸ“ Ofisi zetu: [ Mbezi,Dar es Salaam]
πŸ‘‡ Piga/WhatsApp kwa Ushauri & Makadirio:
πŸ“ž [0682839135]

12/06/2026

Je ,eneo lako halina mvuto unaouhitaji?

Tuite sisi tukushauri namna gani ya kufanya ili tukuwekee pavement za kisasa zinazokwenda na wakati.

0682 839 135

10/06/2026

Urembo wa nguzo unaokwenda na wakati.

Wasiliana nasi 068w839135

#

01/06/2026

Mr ts

16/05/2026

Tunakupatia huduma bora ya decoration kwenye fance yako kwa ubora wa hali ya juu.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0682 839 135

Popote tunakufikia.

12/04/2026

Kazi Imenyooka, Muonekano Umeng'aa! ✨
​Hapa T S Builders hatuuzi maneno, tunauza matokeo yanayoonekana.

Huu ndio ubora wa kipekee wa huduma yetu ya Skimming!
​Kuta zako zikifanikiwa kupata mguso wetu, matokeo yake ni:

βœ… Kumalizia (finishing) laini mithili ya kioo.
βœ… Msingi imara na safi kabisa kwa ajili ya rangi bora.
βœ… Muonekano wa kisasa kabisa unaoleta fahari kwenye jengo lako.

​Hatuachi viraka, tunahakikisha kuta zako zina mng'ao wa hali ya juu kuanzia mwanzo hadi mwisho.
​
Mpee kazi fundi mtaalamu aliye mnyofu. Tuko tayari kupokea oda yako leo.
β€‹πŸ“ž Wasiliana nasi kwa simu/WhatsApp: 0682 839 135
πŸ“ Tunapatikana Mbezi, Dar es Salaam na kote nchini.

​ Plastering UjenziBora DarEsSalaam ConstructionTanzania KaziLaini ModernArchitecture RealEstateTanzania

11/04/2026

Ipendezeshe nyumba yako kwa muonekano mzuri wa gypsum board zilizopangiliwa kutoka kwa wataalamu wabobezi.

Wasiliana nasi sasa 0682 839 135

11/04/2026

Inaoneka kabisa una hofu na machaguo mengi kuhusu namna gani finishing ya nyumba yako itakavyokuwa .lakini je ni vipi k**a utafanya uamuzi sahihi wa kutuchagua sisi kwenye swala hili la finishing?

Wasiliana nasi 0682 839 135. Tupo mbezi daressalaam

11/04/2026

K**a umeipenda hii designer unaweza kuiweka kwako pia.

Kwa sababu ni nzuri inavutia na inakwenda na wakati .

Wasiliana nasi 0682 839 135

10/04/2026

Kila kitu kimepangiliwa kwenye utaratibu . Wasiliana nasi 0682 839 135.

Address

Mbezi Mwisho
Kimara

Telephone

+255682839135

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T S construction company ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to T S construction company ltd:

Share