psb_designs_architectural

psb_designs_architectural Uchoraji wa Ramani za Nyumba na Ujenzi kwa ujumla.

Watu wanakuitaje huko kwenu, au wewe binafsi unafahamika je huko Mtaani kwako? Pia jamii yako inakufahamu vizuri kuwa un...
13/06/2023

Watu wanakuitaje huko kwenu, au wewe binafsi unafahamika je huko Mtaani kwako? Pia jamii yako inakufahamu vizuri kuwa unajishughulisha na kitu gani? Ama inakuchukulia je kutokana na kujitambulisha kwako kwa jamii hiyo?? Jitambulishe Vizuri kwa Jamii yako ikufahamu Vizuri na ujitahidi kutatua kero walizonazo hapo wewe utakuwa KITAMBULISHO mbele za Watu. Ni Mimi Mtoto wenu Msanifu na Mbunifu Majengo: Paul Biswalo kutoka psb Ramani Designers 0768603979.

Mtozi na Mwanagezi sikuwa Mbali na Utalii huu.
11/06/2023

Mtozi na Mwanagezi sikuwa Mbali na Utalii huu.

Royal Tour Mkoa wa Mbeya na Rc Juma zuberi Homera, Wilaya ya Kyela iliyofanyika na Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Mbeya tareh...
11/06/2023

Royal Tour Mkoa wa Mbeya na Rc Juma zuberi Homera, Wilaya ya Kyela iliyofanyika na Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Mbeya tarehe 10 Juni 2023, imeleta Hamasa ya kuvitangaza Vivutio vyote vya Utalii vilivyopo Katika Mkoa wa Mbeya.

Imetolewa na Kitengo cha Tehama Wilaya ya Kyela.
Architect Technologist: Paul Biswalo (Mkuu wa Kitengo).

Thank you Jehovah Jile for your provision, as you have said, let's try you and you will try us, provided that our Faith ...
03/06/2023

Thank you Jehovah Jile for your provision, as you have said, let's try you and you will try us, provided that our Faith and trust must delight in you and you shall do Multiplicity exceedingly, abundantly forevermore via the name of Jesus Mighty saviour.

Psb Ramani Designers tunaendelea kukuhudumia wewe Msh*tili wetu, kwa gharama nafuu kabisa,Karibu tufanye kazi kwa Pamoja...
14/05/2023

Psb Ramani Designers tunaendelea kukuhudumia wewe Msh*tili wetu, kwa gharama nafuu kabisa,

Karibu tufanye kazi kwa Pamoja ili tuweze kulitimiza kusudi lako la kuwa na Jengo Bora lenye kiwango.

Wasiliana nasi kwa nambari; +255768603979
Email:[email protected]

Mahali tulipo: Kyela Mjini -Mbeya, karibu na Ofisi za TARURA.

Kwa pamoja tunayaweza Mambo yote kupitia yeye atupatiaye Nguvu Amen.

Tumetekeleza kwa Vitendooo .
14/04/2023

Tumetekeleza kwa Vitendooo
.

Tunatengeneza Posters, Vipeperushi, Brochures, Stickers, Banners na Matangazo kwa ajili ya Branding kwenye Social Media....
13/04/2023

Tunatengeneza Posters, Vipeperushi, Brochures, Stickers, Banners na Matangazo kwa ajili ya Branding kwenye Social Media..... kwa Bei Rahisi sana, Karibu tukuhudumie, Mawasiliano +255768603979. Hapa hapa Psb Ramani Designers.

Tamati ya Wiki ya wazazi Mkoa wa Mbeya kwa wilaya ya Mbeya Mjini ni Tarehe 13 April 2023. Karibu ujumuike Nasi kuwafarij...
12/04/2023

Tamati ya Wiki ya wazazi Mkoa wa Mbeya kwa wilaya ya Mbeya Mjini ni Tarehe 13 April 2023. Karibu ujumuike Nasi kuwafariji na kuwapatia Mahitaji Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu na Wenye Mahitaji Maalum.

Kwa Wilaya ya Kyela ni Tarehe 14 April 2023. Karibu ujumuike nasi katika Kusaidia Ujenzi wa Kituo cha Afya kinachojengwa Kata ya Makwale -Ngeleka, Maendeleo yanajengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Serikali.

Imetolewa na;
Architect Technologist: Paul Biswalo.
Afisa Tehama Jumuiya Wazazi Mkoa,
Mkuu wa Idara ya Tehama.

Pamoja na Mambo yote,Mhe. ALLY JUMBE MLAGHILA MBUNGE JIMBO LA KYELA amewapatia Uniform za CCM viongozi wote wa Chama Cha...
10/04/2023

Pamoja na Mambo yote,Mhe. ALLY JUMBE MLAGHILA MBUNGE JIMBO LA KYELA amewapatia Uniform za CCM viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, Kwenye Kata zote 37 zilizopo Wilaya ya Kyela.

Wanachama Walifurahi sana kufanya Kikao hiki, kwa maana. Walipata wasaa wa kubadilishana mawazo mbalimbali pamoja na kutoa Maoni yao juu ya Mstakabali wa kuleta Maendeleo katika Jimbo la Kyela.

Pia Mhe. Mbunge, aliwashukuru sana Viongozi hawa kwa kuja na kutoa Maoni waliyokuwa nayo. Hivyo basi aliwaeleza kuwa yuko Bega kwa Bega na Viongozi wote wa Chama kuanzia ngazi ya Shina hadi Taifa, ili kuhakikisha Ilani ya Uchaguzi inatekelezwa kwa Ubora na Uhakika.

Karibu sana Msh*tili wetu tufanye Kazi Pamoja kwa Ubora na Ujuzi Mkubwa kabisa. Ofisi yetu inatoa Huduma Nyingi sana, ka...
08/04/2023

Karibu sana Msh*tili wetu tufanye Kazi Pamoja kwa Ubora na Ujuzi Mkubwa kabisa. Ofisi yetu inatoa Huduma Nyingi sana, karibu ututembelee tukuhudumie upate kile unachokipenda.

Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya kikiwa kwenye Ziara na Kamati Ya siasa Mkoa wa Mbeya Wilayani Kyela, kukagua na kuanga...
13/03/2023

Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya kikiwa kwenye Ziara na Kamati Ya siasa Mkoa wa Mbeya Wilayani Kyela, kukagua na kuangalia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020 - 2025 jinsi unavyotekelezwa ili kuwaletea Wananchi Maendeleo kwa wakati, Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Ndg. STEPHEN ISAAC MWAKAJUMILO akiongoza Kamati hii ya Siasa ya CCM Mkoa Mbeya, alitoa maelekezo mbalimbali kwa Serikali ambayo ndio inatekeleza Miradi hii kuhakikisha wanafanya kazi kwa Ubora na Ufanisi mkubwa huku wakitakiwa kukabidhi Miradi hii kwa wakati ikiendana na Thamani ya Pesa iliyotumika. Mwenyekiti alifanya Majumuisho tarehe 12 Machi 2023 na Watendaji wote wa Serikali Wilaya ya Kyela ambao ndio watekelezaji wa Miradi hii na kuwaeleza kuwa wanatakiwa kufanya Kazi zao kwa Moyo ili kuhakikisha Fedha zinazoletwa na Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan zinafanya Kazi k**a jinsi alivyokusudia na si vinginevyo. Kwa kuhitimisha ziara hii Mwenyekiti aliwashukuru Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya kwa Kusimamia Maendeleo Yanayofanyika katika Wilaya yao na kuwataka kuwa wamoja kwenye Miradi yote inayotekelezwa ili kuifanya kuwa na viwango Bora kutokana na Umakini wao wa kushiriki pamoja na serikali kutekeleza.

Imetolewa na Idara ya Tehama.
CCM Wilaya
Kyela.

Arch-Tech; Paul Biswalo.

Address

Block T
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when psb_designs_architectural posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to psb_designs_architectural:

Share