Smile Agriculture Verdant Company Limited

Smile Agriculture Verdant Company Limited 🌱 Your Partner in Smart Agriculture
πŸ’§ Irrigation | Greenhouse | Seedlings
🐟 Fish Ponds | Soil Testing
πŸ“ž 0743 000 678 / 0781 466 290

12/06/2026

Chungwa aina ya Valencia.
Lima kibiashara sasa.
0743 000 678/ 0781 466 290

11/06/2026

NDIMU KUBWA
TAHITI LIME SEEDLESS
Call πŸ“ž 0743 000 678 /0781 466 290

11/06/2026

Ndimu kubwa zisizo na mbegu ndani.
Miche yake inapatikana kwenye kitalu chetu cha Miche kilichopo Morogoro.

Wasiliana nasi kwa namba 0743 000 678 / 0781 466 290

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

10/06/2026

Ndimu kubwa zisizo na mbegu ndani.
(TAHITI LIME SEEDLESS)
Miche yake inapatikana kwenye kitalu chetu cha Miche kilichopo Morogoro.

Tuna miche mikubwa ya 10,000/= na miche midogo ya 2,500/=

Mavuno ni mengi na huanza kuzaa baada ya mwaka mmoja kwa miche mikubwa, na miaka miwili kwa miche midogo.

Wasiliana nasi kwa namba 0743 000 678 / 0781 466 290

10/06/2026

Dragon fruit.
Miche yake inapatikana kwenye kitalu chetu cha Miche kilichopo Morogoro.
Mche mmoja ni 10,000/=

Wasiliana nasi kwa namba 0743 000 678.

Kumbuka tunasafirisha miche mikoani kwa uaminifu mkubwa sana.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

09/06/2026

HUDUMA YA MICHE YA MIEMBE:

🌱Kwa wakulima na wafanyabiashara wa kilimo, tunakuhakikishia:
- Miche yenye ubora wa kitaalamu
- Ushauri wa kilimo kwa mafanikio endelevu
- Mavuno mengi na yenye tija

🌱Tuna miche ya miembe aina mbalimbali, k**a, Dodo, Red Indian, Tommy, Kent, Apple Mango, nk

Tuna miche mikubwa ya 10,000/= na miche midogo ya 2,500/=

Wasiliana nasi kwa namba 0743 000 678/ 0781 466 290

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

09/06/2026

Burudani Avocado πŸ₯‘.
Moja ya Parachichi ambayo inastawi ukanda wenye joto na baridi.
Sehemu yoyote ulipo ndani ya Tanzania, basi Parachichi hii inastawi vizuri.

Wasiliana nasi kwa namba 0743 000 678 / 0781 466 290

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

08/06/2026
08/06/2026

Water Reservoir
Simple
Durable
Affordable

0743 000 678/ 0781 466 290

Address

Morogoro
910

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smile Agriculture Verdant Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category