21/08/2024
Karibu Dragon mabati Tanzania.
Ni mmoja ya kampuni 3 bora kabisa zinazozalisha mabati bora yenye kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa
Kwa kuzingatia uthibiti wa ubora chini ya Shilika la uzibiti ubora Tanzania (TBS)
Tume ya ushindani Tanzania (FCC)
Ndio maana tunazalisha bati bora.
Tunazo bati za aina tofauti :
Bati za migongo mipana (IT4 na IT5)
Bati za vigae/Versitile (Glazed n Mandalin)
Bati za migongo midogo (Corrugated)
Bati za mwanga (Transparent)
Bati za mikunjo (Climping)
Kofia na Gata (Ridge n Valley)
Misumari ( Nails)
Pvc board
Zote hizo tajwa juu zinaanzia na Gauge tofauti
30G
28G
26G
24G.
Kwa ujenzi wetu wa nyumba za kawaida tunazoishi ni vizuri kutumia
30G na 28G.
Kwa kuwa uwiano wa CHUMA,ALUMINIUM na ZINC zinawiana sawasawa,Pia KIUCHUMI ni sahihi.
26G na 24G
Hizi tunashauri kitaalam ktk majengo makubwa yenye nafasi kati ya kuta za jengo,Mfano:
MAGODAUNI (Godown)
SHULE (Schools)
MAKANISA (Church)
MISIKITI ( Mosque)
KUMBI ZA SHEREHE/MIKUTANO (Hall)
Kuhusu urefu wa bati,
Tunao urefu wa futi 10(=mita3)
Tunao urefu hadi futi 40(=mita 12)
MALIPO:
Tunapokea Cash OFISINI na BANK ktk akaunti ya kiwanda CRDB.
Tunasafirisha bati mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani kwa uaminifu mkubwa.
MAWASILIANO:
0783975877 Simu sms n WhatApp)
Tunapokea ushauri,mawazo,changamoto nk
Karibu DRAGON MABATI.(upate thamani halisi ya pesa yako)