(PECAW)
'Let the quality do the talking'
PECAW ni Kampuni iliyoundwa mwaka 2014 ikiwa na mafundi 20 waliopitia mafunzo VETA. PLUMBING,ELECTRICAL,CARPENTRY and WELDING. Ni kikundi kinachojishughulisha na masuala ya ujenzi kutoka katika fani nne k**a zilizo tajwa hapo juu. Kampuni kimesajiliwa na kipo kisheria, na katika kila fani kuna watu watano. zifuatazo ni kazi tunazozifanya kwenye kampuni yetu
. Nikianza na bomba;tunafanya kazi zote za bomba k**a vile kufunga simtank na kufanya istallation, umeme wa majumba tunafanya installation na selemara tunatengeneza samani na kazi za site na welding, tunachomea na kuunga vyuma k**a kutengeneza mageti ya aina mbalimbali na grill za aina mbalimbali. vijana tupo vizuri katika kila idala. PECAW
Pecaw is a group made up of 20 members specialising in one of four of the respective fields covered by the company. We are all graduates of VETA and formed in 2014 as a team of highly motivated and driven individuals who wanted to make a future for themselves. Our motto is ‘let the quality do the talking’ we believe our work is good enough to speak for itself and we pride ourselves on our high quality products. We are all young and our future depend on us making a name for ourselves in Mtwara so we can guarantee a high quality of life for us and our families; this is what makes us the perfect choice if you are looking for contractors to help you. As a multi-skilled group we can also save you time, rather than taking four calls to four separate companies to sort a problem one call to PECAW is all you need. We offer free call out quotations on any work and feel that given the opportunity you will see that we can satisfy any requirements you have. If you have any further questions please contact us on:
Email: [email protected]
Call us: 0654170528 or 0783494627