18/08/2026
Niseme tu asanteni wateja wangu kazi zinaendelea weka order ninashukuru kuniamini na kuniona wa dhamani bila nyie mimi sio kitu karibuni wateja naitaji maoni ushauri ili kuboresha huduma naomba k**a unamaoni karibu inbox nitapokea na kufanyia kazi .....karibuni wote mlioko kilimanjaro au mwanza unatuma order tutawasiliana utapata huduma ue serious na kuenda na muda....