Kinglion mabati Mwanza co.ltd

Kinglion mabati Mwanza co.ltd Wazalishaji wa mabati ya kisasa kwa aina zote za migongo pamoja na feni za viwandani

24/01/2026

Bati ya muundo wa kigae✅✅ ikiwa katika vipimo tofauti tofauti👍..kumbuka gharama za usafiri ni juu yetu hadi saiti kwako💯

Call:0775050549

17/11/2025

KWANINI UNUNUE
MABATI KIWANDANI?

Faida za kununua moja kwa moja kutoka
KINGLION MABATI COMPANY✊🏼

1. Bei ya Kiwandani
Nunua direct kutoka kiwandani, hakikisha thamani ya pesa yako✅

2. Ubora wa Hali ya Juu Mabati yetu yanatengenezwa kwa teknologia ya kisasa na maligafi bora zaidi✅

3. Usafiri Bure
Tunakuletela bure kwenye maneoo mengi nchini!✅

4. Uhakika wa Vipimo Vyako
Tunakata bati kulingana na urefu unaohitaji
bila malipo ya ziada✅

5. Huduma Rafiki na Haraka
Timu yetu ipo tayari kukuhudumia kwa upendo✅

Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutupiga kwa simu namba

☎️:0775050549

13/11/2025

Unaweza kufanya malipo baada ya mzigo wako kufika saiti kwako…na usafiri ni juu yetu mpaka saiti kwako✅✅
📞 :0775050549/0743989138

09/11/2025

Delivery time✅✅
📞:0775050549/0743989138

Ezeka paa lako na chapa ya Mfalme Kinglion✅..Ubora wa hali ya juu gharama nafuu zaidi🤝Tupigie leo tukuhudimie kwa simu n...
12/10/2024

Ezeka paa lako na chapa ya Mfalme Kinglion✅..Ubora wa hali ya juu gharama nafuu zaidi🤝

Tupigie leo tukuhudimie kwa simu namba :0775050549

Kukaa mazingira yenye joto Kali na kuendelea kukubali kuishi na hali hiyo inakua siyo mpango kabisa. Ili kuikataa hali h...
11/06/2024

Kukaa mazingira yenye joto Kali na kuendelea kukubali kuishi na hali hiyo inakua siyo mpango kabisa.

Ili kuikataa hali hii, nunua ventilator bora kutoka kwetu itakayokupa hewa safi ndani. Tupigie Leo tumaleze suala lako✅

📞:0775050549


Baba/mama mwenye nyumba bora ni yule ambaye nyumba yake ana uhakika wa Ubora,  usalama na muonekano wa bati zake. Mabati...
06/06/2024

Baba/mama mwenye nyumba bora ni yule ambaye nyumba yake ana uhakika wa Ubora, usalama na muonekano wa bati zake.

Mabati ya IT 5 yanakupa kujiamini kwenye vipengele vyote.
Ofa nzuri ukinunua Leo tunakuletea bure hadi kwako..Tupigie Leo kwa simu namba 0775050549


Mabati ya Torino kutoka Kinglion ni mabati ya uhakika yanayokupa kujiamini ukiwa ndani ya nyumba, wengi wamethibitisha h...
20/05/2024

Mabati ya Torino kutoka Kinglion ni mabati ya uhakika yanayokupa kujiamini ukiwa ndani ya nyumba, wengi wamethibitisha hilo 👍

Ofa yetu inaendelea ukinunua Leo mabati kwetu tunakuletea bure hadi site kwako. Wahi Ofa kwa kupiga simu.
Namba:0775050549


We're Open ✅..Anza wiki yako na mabati kutoka Kinglion🤝Tutembelee Leo kwenye Viwanda vyetu vinavyopatikana nchi nzima✅Tu...
13/05/2024

We're Open ✅..Anza wiki yako na mabati kutoka Kinglion🤝

Tutembelee Leo kwenye Viwanda vyetu vinavyopatikana nchi nzima✅

Tupigie Leo kwa simu namba📞:0775050549

Best Quality+ Best price + Best service ✅

Tunakujali na kuhakikisha unaishi mahala pazuri na salama kwa afya yako, ndiyo maana tumekuja na mabati bora ya Torino. ...
24/04/2024

Tunakujali na kuhakikisha unaishi mahala pazuri na salama kwa afya yako, ndiyo maana tumekuja na mabati bora ya Torino.

Ukiezeka na mabati haya, utaishi wewe na vizazi vyako. Tupigie simu Leo tukuhudumie kwa Uaminifu na ubora mkumbwa✅

📞:0775050549


Address

Buzuruga
Mwanza
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinglion mabati Mwanza co.ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share