Kinglion Mabati Mwanza

Kinglion Mabati Mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kinglion Mabati Mwanza, Roofing service, mwanza, Mwanza.

03/03/2026

β€œJenga kwa uhakika na mabati ya 🦁 Kinglion! 🏠✨
Tunatoa ushauri BURE kuepuka kupauka na kutu, usafiri BURE nchi nzima πŸš› na ofa ya misumari BURE kulingana na idadi ya mabati utakayochukua.
πŸ“ž Piga sasa: 0745 696 115 tukushauri!”

 #  KUPAUKA SASA BASI ***KINGLION MABATI MWANZA TUMEKUJA NA SULUHISHO  KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA  BATI KUPAUKA HARAKA NA...
10/02/2026

# KUPAUKA SASA BASI

***KINGLION MABATI MWANZA TUMEKUJA NA SULUHISHO KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA BATI KUPAUKA HARAKA NA KUPATA KUTU SASA UNAWEZA KUTUPIGIA TUKUSHAURI BATI ZA KUTUMIA KULINGANA NA HALI YA HEWA YA ENEO ULIOPO KUJUA BATI YA MATERIAL GANI INAFAA KWA HALI YA HEWA YA ENEO HUSIKA KWA USHAURI TUPIGIE SASA KWA NUMBER 0745-696-115

🏠 KABLA YA KUEZEKA NYUMBA YAKO β€” SIMAMA KIDOGO! πŸ›‘Je, unajua kuchagua bati lisilo sahihi kunaweza kusababisha:❌ Kutu mape...
08/02/2026

🏠 KABLA YA KUEZEKA NYUMBA YAKO β€” SIMAMA KIDOGO! πŸ›‘
Je, unajua kuchagua bati lisilo sahihi kunaweza kusababisha:
❌ Kutu mapema
❌ Rangi kupauka haraka
❌ Hasara ya pesa na marekebisho ya mara kwa mara
πŸ“ž Piga simu tukushauri BURE kabla hujaezeka!
Tunakusaidia kuchagua mabati bora, imara na yanayodumu kwa muda mrefu kulingana na mazingira yako.
βœ… Epuka makosa ya gharama kubwa
βœ… Pata ushauri wa kitaalamu
βœ… Hakikisha nyumba yako inadumu na inaonekana vizuri
πŸ“ Tunapatikana Mwanza – Buzuruga
πŸ“² PIGA SIMU SASA:
πŸ‘‰ 0748 696 115

10/01/2026

Kwa elimu zaid kuhusu mabati tupigie 0745-696-115

08/01/2026

Unatafuta bati imara, linalodumu na lenye mvuto?
Chagua Kinglion Mabati – suluhisho la paa lako!
Ubora wa uhakika, thamani ya pesa yako

Wasiliana nasi Kwa number 0745-696-115

06/01/2026

free delivery βœ…
offa ya misumari
0745-696-115

02/01/2026
KUPAUKA SASA BASI!KINGLION MABATI – MWANZATumeleta suluhisho la uhakika kwa changamoto za bati kupaauka haraka na kupata...
28/12/2025

KUPAUKA SASA BASI!

KINGLION MABATI – MWANZA
Tumeleta suluhisho la uhakika kwa changamoto za bati kupaauka haraka na kupata kutu.

Sasa unaweza kutupigia ili tukushauri aina sahihi ya bati kulingana na hali ya hewa ya eneo lako, na kukueleza material gani linafaa zaidi kulingana na mazingira husika.

πŸ“ž Kwa ushauri wa kitaalamu, tupigie sasa: 0745 696 115

*KINGLION MABATI MWANZA BUZURUGA!* *Karibu katika dunia ya mabati bora ya Kinglion! Tunajivunia kutoa mabati yanayokidhi...
24/10/2025

*KINGLION MABATI MWANZA BUZURUGA!*

*Karibu katika dunia ya mabati bora ya Kinglion! Tunajivunia kutoa mabati yanayokidhi viwango vya juu vya ubora kwa matumizi mbalimbali ya ujenzi

βœ… BIDHAA ZETU:

Gauge 30

Bei nafuu, inafaa kwa ujenzi wa nyumba ndogo na mabanda.
Gauge 28

Imara na yenye uwezo wa kustahimili hali tofauti za hewa.
Gauge 26

Katika kiwango cha juu cha ubora, bora kwa miradi ya kibiashara na viwanda.

πŸ”₯ FAIDA ZA MABATI YA KINGLION:

Uthibitisho wa Ubora: Yanatengenezwa kwa teknolojia ya kisasa.
Ufanisi: Inapatikana katika ukubwa mbalimbali ili kukidhi mahitaji yako.
Bei Nafuu: Tunatoa bei shindani katika soko.

πŸ“ž Wasiliana Nasi:

Simu: [0745-696-115]
Anwani: Mwanza, Buzuruga



✨ Usikose fursa hii! Jenge na mabati bora ya Kinglion! ✨

Address

Mwanza
Mwanza

Telephone

+255745696115

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinglion Mabati Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share