26/07/2026
-Tunakuchagulia mifumo imara naya kisasa ambayo isio kuwa na changamoto yoyote katika mifumo ya umeme katika jengo lako.
-Tunatoa elimu kwa mteja wetu kuhusiana na mifumo ya umeme katika hatua zote tatu.
-Tunakusaidia kuchagua vifaa imara na vyenye viwango na ubora kwa kila mteja wetu.
-Tunarekebisha na tunaondoa mifumo ya zamani na hatari katika jengo lako.
-Tunahakikisha mteja anapata na anatimiza lengo la kupata fundi mwenye ujuzi na ufanisi wa hali ya juu.
📢 Karibu sana ujipatie huduma bora ya mifumo ya umeme katika jengo lako usisite kuwasiliana nasi tutakushauri na pia tutahakikisha unapata kilicho bora sisi tunapatikana MWANZA na pia mikoani tunakufikia kwa gharama nafuu sana 👷
☎️ Call me/ WhatsApp
0755034638