17/10/2024
Ahsante kwa kuchagua Kinglion mabati! wauzaji wa mabati orijino yasiopauka yenye ubora wa viwango vya juu!
tunazalisha bati aina tofautitofauti;
migongo mipana /midogo Gauge 30/28/26✅
bati muundo wa vigae Gauge 30 /28/26✅
bati za chengachenga Gauge 30/28/26✅
misumari✅ kofia✅n.k
TUTAKUSHAURI BATI YA KUNUNUA KULINGANA NA ENEO NA HALI YA HEWA YA SEHEM ULIOPO, GHARAMA ZA UEZEKAJI.
ikiwa tutachelewa kukujibu kutokana na jumbe kua nyingi; tupigie moja kwa moja kwa simu 0621206464. karibu sana🙏