21/11/2025
Kuna hii stage inaharibu ndoa ya vijâna wengi ,inaitwa emótional detachment due to over-famîliarity or Habitûation stage
Unapata mke mzuri mnapendanâ ,ata mkikôsana mnasolve tu polepole alafu Mungu anaamua anawabariki na mtotô wa kwanzä🙄🙄Then paap! unaanzá kumdharaû unafikiriä haezi toka,ata mkikôsana haunâ time ya kuapologize wewé kila saa unamrushia maneno .Kazî yako ni kutafutâ wasichana uko njé ukijipigâ kifua ukisemä"Yule nishamzalisha akuna mahalî anaenda na ata akienda kuna wasichana wengi naeza oa"🙄🙄
Yaani unateza mtotô wa wenyéwe anashida akilia kila saa mtotô pia ako nayo mdógo😭😭
I know kuna wanaumé wanasoma hii sai na wanafanyia wake zao Ivo.Please my brother 🙏 there are no girls out side here,utatezeka huyô akitoroka,hao wasichana wanakufanya udharáu mké wako wamejidûnga mâdawa Kali hawaezi zaá tena hawaezi kaa kwa ndoa
My brother,tunza,penda huyo mke ambayë amekubali kukaa na wewe.Najua umekaa nae mkazoeana unaamwona tu k**a dôlly unaeza mgeuza vile unataka🙄🙄
Be calm my brother,those you said "there are so many ladies outside" are now single and régretting after letting their wives go ju walipenda vya njé na kutesâ wake zao😭