13/08/2026
Ngombe wenye maziwa mengi na sifa nzuri kutoka Kenya π°πͺπ°πͺπ°πͺ Hadi Tanzania πΉπΏπΉπΏπΉπΏ.
ββ Tunao Ngombe wenye sifa nzuri kutoka Kenya eneo la Githunguri - kiambu Kenya
ββ Wana maziwa mengi kuaanzia 25ltrs - 45ltrs kwa matunzo mazuri.
ββ wana uvumilivu sana kwa maeneo yote Tanzania πΉπΏπ€.
ββTunakupa mafunzo jinsi ya kumtunza kabla na baada ya kununua ngombe kwetu.
ββ viwango vyote vipo kuanzia ;-
1. Ndama (miezi 4) 1,200,000.
2. weaners (miezi 5,6) 1,300,000.
3.yearlings ( miezi 7/8) 1,600,000.
4.Bulling heifers ( wakupandishwa) 2.4m
5. incalf( mitamba wenye mimba )4.6-5m
6. milkers( wakukamuliwa) 5mln- 6mln.
NB. Bei ya ngombe πππni kando na bei ya usafiri πππapambo inategemea eneo lako ni wapi !!!
ββ usafiri tunakupangia kwa makubaliano
ββMalipo ni baada ya kupokea mzigo.
Piga oda yako kwenye
πππ +254713403119.
Karibuni tujenge Muungano wa Tanzania πΉπΏπΉπΏπΉπΏ kwa ukumilima wa ngombe wa maziwa πππ...