25/04/2026
🏡 NYUMBA YA VYUMBA VITATU – INATUMIA TOFALI 3700 TU.
Unatafuta nyumba ya kisasa, nzuri na isiyohitaji gharama kubwa? Hii ramani ndiyo suluhisho lako!
Inafaa kwa familia, maeneo yote ya Tanzania, na wenye kipato cha kati na Wasio hitaji Nyumba ya gharama Kubwa.
📐 Ukubwa wa Eneo Inalotoshea
Mita 15 x 15 (Futi 50 x 50) Au Hatua 18 x 18
🏠 MPANGILIO WA NDANI.
🛏️ 1 Self Bedroom (chumba chenye choo ndani)
🛏️ 2 Normal Bedroom 2
🛋️ Sebule ya kupendeza
🪑 Dining
🥑 Jikoni + Store
🚽 Choo cha ndani
🛗 2 Verrandah (mbele & nyuma)
🧱 MAKADIRIO YA VIFAA VYA UJENZI.
✅ Msingi – Tofali 1320
✅ Kuta – Tofali 2380
✅ Saruji – Mifuko 95
✅ Mchanga – Tripu 4
✅ Kokoto – Tripu 2
✅ Nondo – Pcs 75
✅ Bati – Pcs 130
💰 GHARAMA ZA UJENZI.
🔨 Kutoka Msingi hadi Kupaua: Milioni 18 – 35
🏚️ Kutoka Msingi hadi Kukamilika: Milioni 45 – 65
📌 UNAPONUNUA RAMANI KUTOKA KWETU UNANUFAIKA NA:-
1️⃣ Makadirio Kamili ya Vifaa vya Ujenzi
2️⃣ Ushauri na Ufuatiliaji wa Mradi
3️⃣ Muongozo wa Kupata Kibali cha Ujenzi Popote Tanzania
4️⃣ Unaepuka makosa ya ujenzi na gharama zisizokuwa za lazima
KWA KIFUPI UNAJENGA NYUMBA KISASA HUKU UKIJUA KILA KITU KUHUSIANA NA NYUMBA YAKO KABLA YA KUANZA UJENZI.
📞 Wasiliana Na ENG. MAC
📲 0693 227 551 | 0766 057 921
📍 Arusha – Tunahudumia Tanzania Nzima & Nje ya Nchi
👉 Bonyeza hapa kuwasiliana WhatsApp
https://wa.me//255693227551
🤝 JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP:-
https://chat.whatsapp.com/ChhCBsRL5ud0MZYV4zBlAC?mode=hqrc
KARIBU SANA KWA:-
Ramani | Ujenzi | Ushauri | Makadirio | Usimamizi | Ukaguzi wa Site)