JAKX Electrical WORKS LTD

JAKX Electrical WORKS LTD ⚑ Wiring & Rewiring
πŸ“’ Installation of Security Systems
πŸ’‘ EL Dealer
πŸ“‡ Nikonekt application services

Je, Unajisikia Salama Nyumbani Kwako?Katika dunia ya leo isiyotabirika, usalama si anasa  ni hitaji la msingi basi usiru...
02/08/2025

Je, Unajisikia Salama Nyumbani Kwako?

Katika dunia ya leo isiyotabirika, usalama si anasa ni hitaji la msingi basi usiruhusu wasiwasi kuhusu mali zako au wapendwa wako kukuvuruga tena.

Mfumo wetu wa CCTV wa kisasa unakuwezesha:

πŸ”Ή Kuangalia kila kinachoendelea nyumbani hata ukiwa mbali
πŸ”Ή Kupata picha na video zenye ubora wa hali ya juu
πŸ”Ή Kutumia umeme na nafasi ya kuhifadhi kwa ufanisi
πŸ”Ή Kupumzika ukiwa na amani moyoni, ukijua kila kitu kiko salama

Usalama wako ni jukumu letu tunaweka kamera zenye akili zinazokupa taarifa kwa wakati halisi moja kwa moja kwenye simu yako kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, madukani, au maeneo ya biashara.!








[email protected]
www.jakxelectric.blogspot.com
+255 710 437 816
+255 765 549 712

"Arusha, Tanzania"πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Timu yetu ya mafundi umeme wenye uzoefu imejipanga kushughulikia aina zote za kazi za umeme na kuhakikisha ubora na usal...
26/04/2024

Timu yetu ya mafundi umeme wenye uzoefu imejipanga kushughulikia aina zote za kazi za umeme na kuhakikisha ubora na usalama kwenye kila kazi.

Karibu tufanye kazi pamoja ili tuimarishe mifumo ya umeme katika nyumba ya ndoto zako.





[email protected]
jakxelectric.blogspot.com
+255 710 437 816
+255 655 638 503
+255 765 549 712

```Father Babu Road```
```Arusha,Tanzania``` πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Karibu tuifanye nyumba yako iwe na muonekano wa kipekee na kisasa zaidi.   Ufanye mwangaza ulete tabasamu ndani ya nyumb...
01/04/2024

Karibu tuifanye nyumba yako iwe na muonekano wa kipekee na kisasa zaidi.





Ufanye mwangaza ulete tabasamu ndani ya nyumba yako.

JAKX Electrical works ltd
Email,call, Whatsapp us:
[email protected]
+255 710 437 816
+255 655 638 503
+255 765 549 712

Arusha , Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Jakx Electrical Works ltd tunawatakia nyote heri ya krismasi. Iwe krismasi yenye amani , furaha , upendo na baraka tele....
25/12/2023

Jakx Electrical Works ltd tunawatakia nyote heri ya krismasi. Iwe krismasi yenye amani , furaha , upendo na baraka tele.




OFA MAALUMUKwa wateja wote watakaochaguwa kufanya kazi nasi msimu huu.Tukitambuwa Imani kubwa mlioijenga kwetu katika ki...
10/12/2023

OFA MAALUMU
Kwa wateja wote watakaochaguwa kufanya kazi nasi msimu huu.

Tukitambuwa Imani kubwa mlioijenga kwetu katika kipindi chote cha mwaka 2023 ,tukiwa tunaelekea katika kipindi cha msimu wa sikuku za mwisho wa mwaka.

Jakx Electrical Contractor's tunapenda kurejesha tabasamu kwa wateja wetu wote kwa ofa mbalimbali katika msimu huu ikiwa utachaguwa kufanya kazi nasi.

~Tupatie ramani ya jengo lako tukupatie gharama za vifaa vya Umeme vitakavyotumika *(Bureee)*
~Tutakupatia punguzo la bei katika vifaa vya Umeme na gharama za ufundi la hadi asilimia *15%*
~Tutakutumia maombi ya kuunganishiwa Umeme *(Bureee)*
~Tutakupatia chuma kwaajili ya kupokelea Umeme *(Bureee)*
~kuchukuwa vipimo katika mifumo ya umeme na kufanya marekebisho ofa ya hadi asilimia *25%*






[email protected]
jakxelectric.blogspot.com
+255 710 437 816
+255 765 549 712

Umekuwa ukijiuliza ni wapi utapata wataalamu watakao tengeneza mifumo bora ya kisasa na salama katika jengo lako?Basi su...
18/11/2023

Umekuwa ukijiuliza ni wapi utapata wataalamu watakao tengeneza mifumo bora ya kisasa na salama katika jengo lako?

Basi suluhishu ni sisi Jakx Electrical contractors!
kwanza kabisa utajipatia huduma nafuu na za kipekee kabisa ambazo huwezi kupata popote pale Tanzania.

Kwetu sisi utapata vifaa vyenye ubora wa hali ya juu , Ushauri wa mifumo bora inayoendana na jengo lako, ujenzi wa mifumo bora na ya kisasa kabisa kwanzia hatua ya kwanza hadi hatua ya tatu.

Mwisho kabisa tutakutumia maombi ya kuunganishiwa Umeme na kuhakikisha Umeme unawaka katika jengo lako.

Unangoja nini wasiliana nasi leo ufurahie huduma zetu za kipekee zitakazokupatia Tabasamu lililojaa mwangaza.






[email protected]
jakxelectric.blogspot.com
+255 710 437 816
+255 765 549 712

Taa za mapambo ni kati ya vitu muhimu vitakavyo badili muonekano wa nyumba Yako, ni k**a Vito vya mapambo katika nyumba....
23/10/2023

Taa za mapambo ni kati ya vitu muhimu vitakavyo badili muonekano wa nyumba Yako, ni k**a Vito vya mapambo katika nyumba.

Husaidia sebule yako kung'aa na kuangaza zaidi (kuwa na muonekano unaovutia zaidi).

Tukabidhi jengo lako leo tulibadili muonekano Kwa kufunga taa bora za mapambo.





[email protected]
jakxelectric.blogspot.com

0765549712
0710437816

 Tukupatie design Bora na za kisasa katika jengo lako la biashara au makazi ya kuishi.      jakxelectric@gmail.comjakxel...
22/10/2023


Tukupatie design Bora na za kisasa katika jengo lako la biashara au makazi ya kuishi.






[email protected]
jakxelectric.blogspot.com
0765549712
0710437816

 Tukupatie design Bora na za kisasa katika jengo lako la biashara au makazi ya kuishi.      jakxelectric@gmail.comjakxel...
22/10/2023


Tukupatie design Bora na za kisasa katika jengo lako la biashara au makazi ya kuishi.






[email protected]
jakxelectric.blogspot.com
0765549712
0710437816

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 07:30 - 19:00
Tuesday 07:30 - 19:00
Wednesday 07:30 - 19:00
Thursday 07:30 - 19:00
Friday 07:30 - 19:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 10:00 - 14:00

Telephone

+2250765549712

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAKX Electrical WORKS LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JAKX Electrical WORKS LTD:

Share

Category