Savo electrical service

Savo electrical service electrical service

Welcome
19/11/2025

Welcome

NIMEONA WATU WANAKARIRI SANA Nimeona watu WANAKARIRI SANA bila kuelewa na kutoa maelezo kuwa Circuit breaker ilitakiwa i...
13/09/2025

NIMEONA WATU WANAKARIRI SANA
Nimeona watu WANAKARIRI SANA bila kuelewa na kutoa maelezo kuwa Circuit breaker ilitakiwa ianze kabla ya Main switch

Naomba nitoe elimu kidogo

Mpangilio wa kawaida (Single Phase nyumbani) utantakiwa kuwa hivi👇👇

MITA (L, N, E) → Main Switch → MCCB → MCBs → Loads (Lights & Sockets)

Main Switch, inakuwa kabla ya MCCB,(Circuit breaker)kwa sababu

1. Inatoa ON/OFF control ya umeme mzima wa nyumba

2. Inaruhusu mtu kuzima power nyumbani kwa dharura, kabla ya kuingiza MCCB/MCB

3. Husaidia wakati wa maintenance

MCCB (Circuit Breaker / Molded Case Circuit Breaker) inafuata nyuma ya Main Switch

Inalinda main incoming line dhidi ya overload na short circuit

Hapa MCCB ni protection device, Main Switch ni control device

MCBs (Miniature Circuit Breakers)zinafuata MCCB

Kila MCB inalinda branch circuit moja (lighting, sockets, appliances)

Muhimu kuelewa ni kazi za hizi device

Main Switch Control (ON/OFF) Kwanza kutoka supply

MCCB / Main Circuit Breaker Protection
(Overload/Short) Baada ya Main Switch

MCBs Branch protection Baada ya M

By ENG. SAVO ELECTRICAL SERVICE

Tunamshukuru Mungu kwa miaka 91 ya uhai maisha yake bibi yetuPumzika salama msalimiye Babu yetu mwambiye tutadumisha upe...
14/04/2024

Tunamshukuru Mungu kwa miaka 91 ya uhai maisha yake bibi yetu
Pumzika salama msalimiye Babu yetu mwambiye tutadumisha upendo na amani aliyotuachia muda wote nasi wa maisha yetu..
Kifo umevikwa taji dhidi ya mauti

Bado kidogo kufikia mwisho
27/08/2023

Bado kidogo kufikia mwisho

0782255787
25/08/2023

0782255787

25/07/2023
Piga 0782255787
21/07/2023

Piga 0782255787

0782255787
19/07/2023

0782255787

Address

Arusha

Telephone

+255782255787

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Savo electrical service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Savo electrical service:

Share

Category