mnene company

mnene company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mnene company, House Painting, Ngusero, Arusha.

Mnene One Disgin and Decorations ni master of house : finishing za nyumba, ndani na njee, Tailz, peving, michoro,siling bod, Rangi za aina zote za kisasa unakaribishwa

22/04/2025

Je wajua sisi ndo wataalamu wa rangi za nyumba kwa ufasaha chuku namba yangu hapo usiweke namba yako kwenye coment utatafutwa na matapeli

Tujuane
15/02/2024

Tujuane

Wagweno ni kabila la watu wenye asili ya Kenya wanaoishi Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini wa Milima ya Ugweno. Lugha yao ni Kigweno. ASILI Kiasili Wagweno ni katika jamii zilizotoka Uhabeshi ya kale na ndiyo maana ukiangalia kwa makini utamaduni wao utaona kwamba...

Follow us
11/12/2023

Follow us

Check out elly_mnene13's post.

Follow me
03/12/2023

Follow me

Watch, follow, and discover more trending content.

Mambo ni moto
05/07/2023

Mambo ni moto

one gift for me to day. Check out elly_mnene13(ellymnene13) LIVE videos on TikTok! Watch, follow, and discover the latest content from elly_mnene13(ellymnene13).

25/11/2022

KATIKATI YA CHANGAMOTO ZAKO MUNGU YUPO NA WEWE

Mpendwa mtu wa Mungu
:➡️Katikati ya changamoto nyingi na zenye machozi na kukata tamaa fahamu ya kuwa Mungu yupo pamoja na wewe.

➡️Kina Daniel walitupwa kwenye tanuru la moto kwa sababu ya kukataa kuabudu miungu mingine,walitupwa kwenye moto ila Mungu alikuwa pamoja nao.

➡️Mpendwa mtu wa Mungu nataka kusema kwamba ni lazima tutapita kwenye magumu ila Mungu atakuwa pamoja na sisi,na ipo siku watamjua Mungu wetu na ukuu wetu.

DANIEL 3:
24 Ndipo Nebukadreza akastaajabu, akainuka kwa haraka; akanena, akawaambia mawaziri wake, Je! Hatukutupa watu watatu, hali wamefungwa, katikati ya moto? Wakajibu, wakamwambia mfalme, Kweli, Ee mfalme.

25 Akajibu, akasema, Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu.

➡️Changamoto na majaribu hayata kutoa roho,k**a Kina Daniel hawakupata madhara ya moto k**a watoto wa Mungu na ww hilo jaribu la ndoa,kaz,watoto, biashara nk,havita kutoa roho.Jina la Mungu litatukuzwa kupitia jaribu lako.

NOTE
*NAOMBA RADHI KWA WALE AMBAO NASHINDWA KUJIBU UJUMBE WAO KWA WAKATI INBOX NI KWA SABABU YA MAJUKUMU MBALIMBALI.
*MBARIKIWE WOTE MNAOENDELEA KUNILETEA USHUHUDA WA MAMBO AMBAYO MUNGU ANAFANYA.

MUNGU AWABARIKI NAWAPENDA SANA
MUNGU AKAWE MTU WA PILI KATIKA JARIBU LAKO.

20/01/2022

Mnene company ni Wakali wa mambo ya finishing zote Kali za rangi tupigie kwa maelekezo zaidi +255762865974,+255624637087

29/09/2021

Our service +255762865974/+255624637087

14/07/2021

Watafute MNENE ONE Desgins & Decorations changes your house ndo suluhisho lako
+255762865974,0624637087
Kazi kazi

Address

Ngusero
Arusha
426

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mnene company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to mnene company:

Share

Category