05/08/2026
Mafundi wenzangu na wamiliki wa majengo, hapa pako sahihi kweli? π€ποΈ
βWatu wengi wanadhania kuweka nondo nyingi ndio uimara, lakini mpangilio (spacing, alignment & stirrups) usipokuwa sahihi, nguzo haina nguvu! Tazama makosa yaliyo kwenye hii nguzo na utuambie kwenye comments k**a umewahi kuona haya kwenye saiti yako.
βπ‘ Kwa kazi za uhakika zilizothibitishwa kihaandisi, Maarifa Construction Group tuko hapa kwa ajili yako.
βπ Maarifa Tip: Usikubali kukata kona kwenye mambo ya msingi ya kuanzia.
βπ Wasiliana nasi kwa ushauri na ujenzi wa viwango vya uhakika!