jovinanconstructionnetwork

jovinanconstructionnetwork Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jovinanconstructionnetwork, Contractor, Makongo Dtv, Dar es Salaam.

JOVINAN CONSTRUCTION TECHNOLOGY is a Design and Builds construction company
specializing in Building construction projects with revolutionized construction technology

The company is located in Makongo, Dar es Salaam, Tanzania.

Car shading designed to protect your car, we offer such kind of service for car dealers and car owners at home park.Welc...
04/03/2026

Car shading designed to protect your car, we offer such kind of service for car dealers and car owners at home park.

Welcome for better parking modelling
Call us 0763730302

Hizi ndizo mbinu zinazotumiwa na watu wengi kufanikisha ndoto ya ujenzi. Watu wengi wamekuwa wakiweka malengo makubwa ya...
03/03/2026

Hizi ndizo mbinu zinazotumiwa na watu wengi kufanikisha ndoto ya ujenzi.

Watu wengi wamekuwa wakiweka malengo makubwa ya ujenzi wa project zao lakini wamekuwa wakishindwa, kufuata izo mbinu tano ambazo zimewasaidia wengi kujenga majumba na kukamilisha project kubwa za ujenzi.

1. Kuwa na mpango mkakati wa kufuata pindi u apoanza ujenzi wako.
2. Kuwa na budget ya mwanzo kuhusu ujenzi wa nyumba yako.
3. Kuwa na wataalamu sahihi wa ujenzi watakaokupa ushauri sahihi wa ujenzi na mbinu za kiujenzi pindi utakapokuwa na ujenzi wako.
4. Kuwa na orodha sahihi ya masaplyer (wauzaji wa vifaa vya ujenzi) ambao utawatumia pindi unaendelea na project yako ya ujenzi
5. Kuwa na mkakati wa kimawasiliano ya kina na mteja, suppliers, na wafanyakazi wako ili kuhakikisha kila jambo linaenda k**a ilivyopangwa.
Watu wengi walioweza kufanya project zao na kuikamilisha ni wale walioweza kufuata izi mbinu tano na wakafanikiwa kumaliza project zao vizuri.

Habari njema ni kwamba tumekuandalia mpango mkakati wa kufuata ili uweze kukamilisha ndoto yako ya ujenzi.

Wasiliana nasi kwa 0763730302 ili kupata huo mpango

Nyumba ya vyumba viwili Master bedroom,  kitchen, stood, public toilet, dinning sitting room, Ni kwa namna hii unaweza k...
27/02/2026

Nyumba ya vyumba viwili Master bedroom, kitchen, stood, public toilet, dinning sitting room,

Ni kwa namna hii unaweza kupata Nyumba yako ndogo ya kuanzia kwa gharama ndogondogo za ujenzi.

Habari njema ni kwamba tumekuandalia mpango mkakati wa kufuata ili kuweza kufanya ujenzi wako kwa bei nafuu.

Kupata mpango mkakati wa kufuata wasiliana nasi kwa kwa mawasiliano 0763730302

Time for reflection with our almighty God
18/02/2026

Time for reflection with our almighty God

Namna bora ya kuanza ujenzi wako na kumaliza kwa haraka sana ni kuwa na mpango mkakati  utakaokuwezesha namna ya kuanza ...
10/02/2026

Namna bora ya kuanza ujenzi wako na kumaliza kwa haraka sana ni kuwa na mpango mkakati utakaokuwezesha namna ya kuanza na namna ya kumaliza.

Habari njema ni kwamba tumekuandalia mpango mkakati wa kufuata ili kukamilisha ujenzi wako ndani ya mwaka 2026 ikiwa ni moja ya kufanikisha malengo na mipango uliyonayo ndani ya Mwaka 2026.

Kupata mpango wa kufuata wasiliana nasi kwa no 0763730302

Moja ya sehemu ambayo inahitaji umakini kwenye ujenzi wa nyumba za contemporary ni sehemu ya kuezeka ambayo ndo watu wen...
07/02/2026

Moja ya sehemu ambayo inahitaji umakini kwenye ujenzi wa nyumba za contemporary ni sehemu ya kuezeka ambayo ndo watu wengi wanapaogopa.

Habari njema ni kwamba hakuna upauwaji mzuri na ujenzi wa raisi k**a wa nyumba izi za contemporary.

Na hii ni kwa sababu upauaji unatumia materials ya mbao kidogo sana ukilinganisha na upauaji wa mbao za kawaida.

Hivyo nipende kukuhakikishia kuwa usiogope kupaua kwa mtindo huu ambao unaonesha uzuri wa nyumba za kisasa na ya kupendeza kuleta hadhi ya kitofauti kabisa.

Nipende kukukaribisha kwa ujenzi wa nyumba izi za contemporary wasiliana nasi kwa no
0763730302

Namna bora ya kufanya ujenzi wa kisasa ni kuendana na kasi ya teknolojia inayolenga kuleta mapinduzi chanya juu ya utend...
29/01/2026

Namna bora ya kufanya ujenzi wa kisasa ni kuendana na kasi ya teknolojia inayolenga kuleta mapinduzi chanya juu ya utendaji kazi wetu wa ujenzi.Hii ni habari njema kwa wale wanaotaka kufanya ujenzi wao uwe ni wa tofauti na wa kina .

Karibu tudesign nyumba ya ndoto yako
02/07/2025

Karibu tudesign nyumba ya ndoto yako

Walling stage for multipurpose hall built at Dar es salaam.
10/06/2025

Walling stage for multipurpose hall built at Dar es salaam.



Ni katika tazamio ili la maisha ya kila siku kuhakikisha Mambo yanakuwa salama katika kuhakikisha ulimwengu unakuwa sala...
29/05/2025

Ni katika tazamio ili la maisha ya kila siku kuhakikisha Mambo yanakuwa salama katika kuhakikisha ulimwengu unakuwa salama na kuyafurahia maisha.

Habari njema ni kwamba tumekuandalia mpango mkakati wa kuhakikisha unaweza kpata na kuanza ujenzi wako na kuyafurahia maisha yako ya kila siku.

Karibu tukuhudumie kwa ujenzi bora na kupata huduma nzuri ya ujenzi.

Address

Makongo Dtv
Dar Es Salaam
14129

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jovinanconstructionnetwork posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to jovinanconstructionnetwork:

Share

Category