24/08/2026
Taa ya solar ya mapambo (solar RGB LED strip light).
☀️ Kuchaji kwa jua mchana kupitia solar panel.
🔋Kutoa mwanga wa rangi mbalimbali (RGB) kwa kutumia LED strip.
🔋Unaweza kubadilisha rangi na mode za mwanga kwa remote.
🔆 Ina uwezo wa kupunguza au kuongeza mwangaza (DIM).
⏱️ Remote ina timer za 4H, 6H na 8H.
🌙 Inatumika zaidi usiku, hasa kupamba nyumba, bustani, ukuta, uzio, miti, balcony au sehemu za sherehe.
🔋 Nishati inayohifadhiwa kwenye betri ya ndani wakati wa mchana hutumika kuendesha taa usiku.
📡 Remote control inakuruhusu kuwasha/kuzima na kuchagua modes bila kwenda kwenye panel.
BEI YAKE NI TSH. 50,000/=
NAMBA ZETU 0713 130144
TUPO KARIAKOO-DAR