O.G PLUMBING WORKS TANZANIA

O.G PLUMBING WORKS TANZANIA for all clean water and sewage systems, unfilled pits, good works with international standards.

Huu ni mfumo wa ringi,ni mfumo mkubwa kuliko ule wa,biogester,zamani mashimo mawili makubwa.Huu ni mkubwa zaidi ya mifum...
19/10/2022

Huu ni mfumo wa ringi,ni mfumo mkubwa kuliko ule wa,biogester,zamani mashimo mawili makubwa.

Huu ni mkubwa zaidi ya mifumo yote,umebeba septic iliyoboreshwa zaidi ya lile kubwa la zamani,imebeba french drain iliyoboreshwa zaidi, imebeba soak pit iliyoboreshwa kuliko lile kubwa la zamani,ni technology za kisasa kutatua kero za uchafuzi wa mazingira kuboresha mifumo ya maji taka.

Mfumo huu ndio mkubwa zaidi ya yote,anaejua mkubwa zaidi aulete na hoja zake ila kwenye utafiti wa .G huu ndio mfumo salama zaidi kwa mazingira,na inachukua nafasi ndogo,juu unafanya parking,darden.

Pia tunamifumo ya kuvuna maji taka kwa umwagilisji wa garden
Hiyo apo ndio biogester mifumo midogo isiyojaa,huu umeboreshwa zaidi hivyo ni mkubwa,lakini unachukua nafasi ndogo,haichukui nafasi kubwa haijai,kuna mifumo ya sehemu za watu wengi na wachahe,mashuleni,vyuo, hospital,stand,kumbi za sherehe,viwanda, sehemu zote za makazi ya watu, binadam 😄

Gharama zake ni nafuu kuliko mifumo mingine,pia mifumo hii inaongezeka gharama,ukubwa,kulingana na uhitaji matumizi ya sehemu husika ili kutokupata hasara zaidi tunakupa warranty

18/10/2022

Yanini kuchafua nyumba yako kwa kuweka mabomba yanayoonekana na kuharibu muonekano wa nyumba yako na haa kukuongezea gha...
07/10/2022

Yanini kuchafua nyumba yako kwa kuweka mabomba yanayoonekana na kuharibu muonekano wa nyumba yako na haa kukuongezea gharama kwa matengenezo ya mabomba kwenye jengo lako
Kutana na wataalamu wa kwanza Tanzania kwa kudesign njia mbadala ya kuficha mabomba kwenye jengo na kutokuonekana mara baada yakupigwa plaster na kuacha nyumba yako kwenye muonekano mzuri na bora zaidi kwa jengo lako.
karibu OG PLUMBING WORKS kwa huduma bora za mifumo mbalimbali ya mabomba kwenye jengo lako
kwa mawasiliano
+255786059555
+255766059555
Email:- [email protected]

OG PLUMBING WORKS WHEN WE ARE TALKING ABOUT THE QUALITY OF THE WORK, we are talking about OG plumbing works Tz. we alway...
07/10/2022

OG PLUMBING WORKS
WHEN WE ARE TALKING ABOUT THE QUALITY OF THE WORK, we are talking about OG plumbing works Tz. we always meet the client satisfaction and we consider quality. satisfaction. Time
welcome
contact us
+255786059555
+255766059555
Email:- [email protected]

Ili usipate usumbufu katika mfumo wa maji taka na maji safi katika nyumba yako, na kwa kuzingatia utaalamu na uzoefu wa ...
07/10/2022

Ili usipate usumbufu katika mfumo wa maji taka na maji safi katika nyumba yako, na kwa kuzingatia utaalamu na uzoefu wa mifumo ya kisasa na bora katika kufanikisha ubora wa mifumo yetu karibu sana tukupatie kile kilicho bora na tunakuhakikishia kwamba nyumba yako itakaa kwa ubora huohuo kwa muda mrefu bila kuwa na usumbufu wowote katika mifumo ya maji.
kwa mawasiliano zaidi
+255786059555
+255766059555
Email:- [email protected]

KARIBU OG PLUMBING WORK TZ Twahusika na utengenezaji wa mifumo ya maji safi na taka kwenye nyumba kwa kuzingatia utaalam...
07/10/2022

KARIBU OG PLUMBING WORK TZ
Twahusika na utengenezaji wa mifumo ya maji safi na taka kwenye nyumba kwa kuzingatia utaalamu na ubora wa kazi
- kazi zetu zina garantee na kwa ubora na kazi tuzifanyazo ni k**a makaro yasiyojaa, mifumo ya maji taka na safi, chemba, fire sprinkler, swimming pool, biogesta system, ring za maji taka zinazochukua nafasi ndogo, soak away pit na septic tank

Tunapatikana Mbezi beach pembeni wa masana hospitali
kwa mawasiliano zaidi tupigie
+255786059555
+255766059555
Email:- [email protected]
.G Tanzania Construction co.Ltd

Our company is focused on all systems of clean water and sewage, good works with international standards, if you choose ...
04/10/2022

Our company is focused on all systems of clean water and sewage, good works with international standards, if you choose us, you will not regret our services very soon and plumbing works in Tanzania for good and modern construction.

Address

Mbezi Beach Masana
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when O.G PLUMBING WORKS TANZANIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to O.G PLUMBING WORKS TANZANIA:

Share