11/07/2023
Ndugu mteja umefika wakati wa wewe kuchagua bati imara na Bora na Yenye mwonekano mzuri usio boa kutazamika
Tunaposema bati imara na Bora ni Kwa sababu imetengenezwa,na layer tatu ambazo ni
1) iron metal 2) zinc na aluminum coated 3) color coated, .kuwepo Kwa haya material mhimu huikinga bati juu ya mambo matatu
*Bati kuto kupauka * bati kutokupata kutu *bati kutokutoboka
Tunakuthibitishia Kwa kukupa warranty ya miaka 10 ,Kwa bei nafuu sana , kampuni tuliozo nazo ni pamoja na
ALAF LIMITED, TAISHAN TECHNOLOGY, SUNSHARE,
Piga☎️0719 616 974 na 0692 753 316 ,piga ili kuuliza bei Kwa na ufafanuzi Kwa kila kampuni
OFA YA USAFIRI BURE ,Mikoa yote TANZANIA
YA MISUMARI
TUNAPATIKANA BUGURUNI CHAMA DAR ES SALAAM