Kinglion Mabati

Kinglion Mabati The KINGLION roofing sheet is made from pre-painted Aluminum Zinc iron sheets and combines increased longevity with low maintenance costs.

KINGLION roofing sheets are suitable for both residential and commercial purposes.

Ventileta ya Kinglion inakuwezesha kufanya kazi kwa utulivu na ufanisi muda wote.✳️* Ubora wa Ventieta zetu unapatikana ...
01/06/2026

Ventileta ya Kinglion inakuwezesha kufanya kazi kwa utulivu na ufanisi muda wote.

✳️* Ubora wa Ventieta zetu unapatikana kwenye uwezo wake wa kusambaza hewa ndani, uimara wake juu ya paa na zimethibitishwa na mamlaka. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie popote.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Mabati pekee ambayo yanaweza kuhimili hali mbalimbali za hewa kwa sasa mabati ya Kinglion.✳️* Torino ni mabati bora yasi...
28/05/2026

Mabati pekee ambayo yanaweza kuhimili hali mbalimbali za hewa kwa sasa mabati ya Kinglion.

✳️* Torino ni mabati bora yasiyoathiriwa na jua, yanatunza rangi yake na ubora uliothibitishwa. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie popote ulipo.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Kinglion inakutakia sikukuu njema ya Eid Al-Adha.
26/05/2026

Kinglion inakutakia sikukuu njema ya Eid Al-Adha.

Nyumba yako inastahili paa la uhakika kukupa usingizi mnono wewe na familia yako, na Kinglion ndiyo suluhisho sahihi.🏡 M...
26/05/2026

Nyumba yako inastahili paa la uhakika kukupa usingizi mnono wewe na familia yako, na Kinglion ndiyo suluhisho sahihi.

🏡 Mabati yetu yana rangi isiyochubuka, yanayodumu kwa muda mrefu na yamethibitishwa na mamlaka. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Mabati yetu aina ya kigae (Torino) yanawahakikishia maisha marefu watumiaji wake kutokana na ubora wa paa lake.✳️* Ukiez...
23/05/2026

Mabati yetu aina ya kigae (Torino) yanawahakikishia maisha marefu watumiaji wake kutokana na ubora wa paa lake.

✳️* Ukiezeka mara moja tu, hautakuwa na sababu ya kubadilisha au kurekebisha tena. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie kwa ubora mkubwa.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Tuna mabati bora kwenye Geji za aina mbalimbali na hizi ndiyo sifa zake kubwa kwenye ujenzi wa nyumba yako.✳️ GEJI 26: B...
22/05/2026

Tuna mabati bora kwenye Geji za aina mbalimbali na hizi ndiyo sifa zake kubwa kwenye ujenzi wa nyumba yako.
✳️ GEJI 26: Bati ya gharama ya juu yenye ubora mkubwa na inayodumu muda mrefu.
✳️ GEJI 28: Ni imara sana, yanadumu muda mrefu bila kupinda, kupauka wala kutu.
✳️ GEJI 30: Ni standard ya kati, yanapendwa na wengi ( Yana uwiano kati ya bei na ubora)

Tupigie simu bure sasa tukuhudumie.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Tuna package kamili kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo lako.❇️ Kwetu utapata koili za kuzalisha mabati, utapata mab...
19/05/2026

Tuna package kamili kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo lako.

❇️ Kwetu utapata koili za kuzalisha mabati, utapata mabati yenyewe pamoja na misumari. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie popote ulipo.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328

Ujenzi wa nyumba za kisasa unahitaji mabati bora ya rangi, na mabati hayo unayapata Kinglion pekee. Hizi ndiyo sifa zina...
15/05/2026

Ujenzi wa nyumba za kisasa unahitaji mabati bora ya rangi, na mabati hayo unayapata Kinglion pekee.

Hizi ndiyo sifa zinazopatikana kwenye mabati yetu:
✳️* Yanadumisha rangi yake yakiwa juu ya paa
✳️* Gharama zake na ubora vinaenda sambamba
✳️* Ubora wake umethibitishwa na mamlaka husika
✳️* Unayapata kuanzia geji 26, 28 na 30 na kwa rangi mbalimbali

Tumia mabati ya Kinglion kukamilisha nyumba yako. Tupigie bure sasa kwa mawasiliano zaidi.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Tuko tayari kukuezekea nyumba yako kwa mabati yenye rangi uipendayo ukiwa popote.Mabati yetu yanapatikana katika rangi z...
14/05/2026

Tuko tayari kukuezekea nyumba yako kwa mabati yenye rangi uipendayo ukiwa popote.

Mabati yetu yanapatikana katika rangi zaidi ya 10 ili kukupa ubora wa nyumba yako. Tupigie simu bure popote tukuhudumie.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Tuna kila sababu ya kujivunia mabati ya mgongo mpana kutoka Kinglion kutokana na sifa hizi:✳️* Unayapata kwenye rangi mb...
11/05/2026

Tuna kila sababu ya kujivunia mabati ya mgongo mpana kutoka Kinglion kutokana na sifa hizi:
✳️* Unayapata kwenye rangi mbalimbali kulingana na chaguo lako.
✳️* Yanapatikana kwa gharama nafuu.
✳️* Hayapotezi rangi yake juu ya paa.
✳️* Ubora wake umethibitishwa na mamlaka husika.

Tupigie simu bure sasa tukuhudumie kwa ubora popote ulipo.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Address

Plot No. 20, Block 45C, Wakatibado Street, P. O. Box: Kjitonyama, Kinondoni, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
33596

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255800750202

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinglion Mabati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share