27/09/2023
Tunajenga Mashimo ya Choo ya Kisasa yasiyojaa (BIODIGESTERS) ambayo haijai kamwe wala hutokuja kunyonya katika Kipindi chote cha Matumizi...
Gharama yake ni 1600000/= ambayo ni Gharama ya Materials, Uchimbaji na Ufundi, karibu sana
FAIDA ZAKE:
👉HAUJAI KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MATUMIZI
👉HUTUMIA ENEO DOGO
👉HAUTOI HARUFU
👉HUFANYA KAZI VYEMA ZAIDI SEHEMU ZENYE CHEMI CHEMI
👉UNA MUONEKANO MZURI
👉HAUKUZUII KUWEKA BUSTANI AU PAVING BLOCKS JUU YAKE
👉GHARAMA NAFUU KURINGISHA NA MASHIMO YA ZAMANI
👉MFUMO TUNAJENGA KULINGANA UWINGI WA WATUMIAJI
👍Shuleni
👍Kanisani
👍Hotelini
👍Sokoni
👍Nyumba za Makazi ya Kawaida na Zenye Watu wengi
TUPIGIE 0764-635014