JN Water Proof Solution

  • Home
  • JN Water Proof Solution

JN Water Proof Solution Tunafanya marekebisho na nyumba na majengo yanayopitisha maji au kuvuja Kwa njia za kisasa

Namshukuru Mungu pamoja na Dua zenu pia nimefika salama na kupokelewa na mwenyeji wangu tayari kwa kupiga kazi
18/08/2024

Namshukuru Mungu pamoja na Dua zenu pia nimefika salama na kupokelewa na mwenyeji wangu tayari kwa kupiga kazi

JN WATER PROOF SOLUTION.Sisi ni wataalamu tuliobobea kudhibiti aina zote za leakage kwenye majengo ya aina yote.(magorof...
21/01/2023

JN WATER PROOF SOLUTION.

Sisi ni wataalamu tuliobobea kudhibiti aina zote za leakage kwenye majengo ya aina yote.(magorofa na nyumba za kawaida).

Shughuli zetu zinahusika sana kwenye maeneo yanayovuja au kupitisha maji/unyevunyevu kwenye;
✅Flat roof
✅Canopy
✅Gutter
✅Basement
✅Swimming pool
✅Tanks zinazovuja
✅Expansion joint
✅Parapet wall
✅Makalo ya maji
✅Vyoo vya maghorofani
✅Nyumba za kisasa (contemporary)
✅Mabati hasa maeneo ya misumali (panapovijisha).

Tunatumia materials za kisasa zenye ubora wa hali ya juu na zinadumu kwa muda mrefu,na kumfanya mteja wetu kuondokana na kero ya kuvuja kwa nyumba yake hivyo mteja wetu hatajutia Kwa kuchagua huduma zetu.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba
+255 655 635 083
+255 625 514 671(WhatsApp).

21/01/2023

Address

Chang'ombe

Telephone

+255655635083

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JN Water Proof Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JN Water Proof Solution:

  • Want your business to be the top-listed Contractor?

Share