Contemporary HOMES

Contemporary HOMES Contemporary House design and build

1sᴛ ғʟᴏᴏʀ ɪɴᴛᴇʀɪᴏʀ ᴅᴇsɪɢɴ✴️False ceiling design idea✴️💯 Spartial arrang.📸
30/12/2020

1sᴛ ғʟᴏᴏʀ ɪɴᴛᴇʀɪᴏʀ ᴅᴇsɪɢɴ
✴️False ceiling design idea
✴️💯 Spartial arrang.
📸










*hardcore filling, sand blinding & dpm*Kazi ya kupanga mawe (hardcores) imefanyika kwa level elekezi 💯👉🏽. uimara unaotok...
10/12/2020

*hardcore filling, sand blinding & dpm*
Kazi ya kupanga mawe (hardcores) imefanyika kwa level elekezi 💯
👉🏽. uimara unaotokana na hardcores unapelekea kuoffer resistance ya pressure za _*live loads*_and _*dead loads*_ katika ground floor.
Ambayo mwisho wa siku inasaidia kutransfer loads kwenye foundation ( msingi)
Baada ya zoezi la kuweka mawe , tumeweka mchanga juu yake
Uwekaji wa Mchanga una faida zifuatazo...
Mchanga unazuia Kwa kiasi kikubwa concrete kupenya kwenda chini kwenye hardcores
🚫which leads to wastage of concrete 🚫
Sand blinding ina reduce some amount of moisture 💦kupenya kwenye concrete kwa kupitia proces ya capillary action



ɢʀᴏᴜɴᴅ ғʟᴏᴏʀ ɪɴᴛᴇʀɪᴏʀ ᴅᴇsɪɢɴ✴️Living room cm dinning✴️stylish false ceiling  ideas✴️💯 Spartial design  👊🏽📸             ...
10/12/2020

ɢʀᴏᴜɴᴅ ғʟᴏᴏʀ ɪɴᴛᴇʀɪᴏʀ ᴅᴇsɪɢɴ
✴️Living room cm dinning
✴️stylish false ceiling ideas
✴️💯 Spartial design 👊🏽
📸









01/12/2020

A double storey residential home
🎥








Backfilling & watering*Kazi ya kirudishia kifusi kwenye msingi imefanyikatumetumia the best backfill materials mchangany...
27/11/2020

Backfilling & watering*
Kazi ya kirudishia kifusi kwenye msingi imefanyika
tumetumia the best backfill materials mchanganyiko wa stones na native soil
Ambayo kimsingi ina promote good drainage system
Watering*💦
Pia tumeweka maji ya kutosha kusaidia kifusi kujishindilia vizuri kwa muda

A single storey residential bldng3 bedrooms house 1 master bedr. ➕ 2 normal bedr.
01/10/2020

A single storey residential bldng
3 bedrooms house
1 master bedr. ➕ 2 normal bedr.

A double storey contemporary home 4 bedr. House2 master ➕2 normal bedr.
11/09/2020

A double storey contemporary home
4 bedr. House
2 master ➕2 normal bedr.

Pouring concrete in RC columnsImefanyika kazi ya umwagaji wa zege katika nguzo zote Tumetumia zege lenye ubora wa G25  ....
10/09/2020

Pouring concrete in RC columns
Imefanyika kazi ya umwagaji wa zege katika nguzo zote
Tumetumia zege lenye ubora wa G25 .. ikiwa ni kokoto, mchanga pamoja cement zenye ubora kwa ajili ya kazi ya zege
Tumetumia poker vi****or kwa ajili ya kuifanya kazi yetu kwa ufasaha

Ili kupata nguzo ambazo zitakua na muonekano mzuri lakini pia kuwa na uimara madhubuti
Poker vi****or inatusaidia kuondoa air bubbles zote katika nguzo na kuifanya nguzo kutokua na vidonda( honey combs) au cracks

Shuttering for reinforced concrete column
04/09/2020

Shuttering for reinforced concrete column

Service ducts Ujenzi wa service ducts pamoja na weep holes umekamilika kwa 💯Tumeweka Service ducts kwenye design yetu kw...
31/08/2020

Service ducts
Ujenzi wa service ducts pamoja na weep holes umekamilika kwa 💯
Tumeweka Service ducts kwenye design yetu kwa ajili ya kusaidia katika kukusanya foul and rain water from r.c gutters

Lakini pia zinasaidia kuleta privacy ya household sanitary appliances pvc pipes zote za nyumba nzima endapo kutatokea na leakage yeyote

Lakini pia huleta muonekano mzuri wa nyumba

Weep holes
Pia Tumeweka holes kwa kila msingi ulipoinuka kusaidia provision ya openings ambayo itaruhusu drainage ya aina yoyote itakayotokea nyuma ya msingi katika backfilling materials tulioyaweka kupitia capillary actions
Weepsl holes pia ina serve k**a ventilator ambayo ina allow air from back of the wall
@ Vijibweni, Kigamboni

26/08/2020

.
Animation:

Blockwork finalMsingi umekamilika na umenyooka sawa sawa .Maandalizi ya misingi ya service ducts pamoja na weep holes ya...
24/08/2020

Blockwork final
Msingi umekamilika na umenyooka sawa sawa
.
Maandalizi ya misingi ya service ducts pamoja na weep holes yanaendelea

@ Kigamboni, Dar Es Salaam, Tanzania

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Contemporary HOMES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Contemporary HOMES:

Share