14/10/2026
Safari ya mabomba ya PPR ya LESSO Tanzania: Kutoka uzalishaji hadi kwa wateja! ππ§
Je, unajua kuwa mabomba ya PPR yanayotumika kwenye mifumo ya maji ya moto na maji ya baridi yanaweza kuwa na tofauti ndogo katika mwonekano na alama zake?
Tunakuletea muonekano wa uzalishaji wa mabomba ya PPR katika kiwanda cha LESSO Tanzania, jinsi yanavyofungashwa, na jinsi wateja wanavyoyachukua kwa ajili ya miradi yao.
Kumbuka: Chagua bomba kulingana na matumizi yaliyokusudiwa, vipimo na maelekezo ya mtengenezaji.
Kiwanda chetu cha LESSO Tanzania kilichopo Mbezi beach, Dar es salaam , sisi Ndio wazalishaji wakuu wa bidhaa zote za LESSO nchini na tunawakaribisha wafanyabiashara wote ambao wangependa kuwa wasambazaji wa bidhaa za LESSO popote nchini Tanzania Kuleta Maombi Yao kiwandani kwetu ama kuwasiliana nasisi kupitia ukurasa wetu huu wa Facebook .
π¬ Ungependa tujifunze zaidi kuhusu mabomba ya PPR, PVC-U au HDPE kwenye video inayofuata? Tuandikie maoni yako!