Fundi gearbox za automatic

Fundi gearbox za automatic MATATZO YA GEARBOX❌
❌gari hairudi nyuma au aiyend mbele
❌haichenj au haimaliz gia
❌inachelewa kutembea au kurudi nyuma n.k
call:0759910641

Ulipata changamoto gani kwa gearbox ya CVT.? 0759 910 641 📍 JET LUMO AIRPORT ( JURIAS NYERERE )    gearbox
07/04/2026

Ulipata changamoto gani kwa gearbox ya CVT.?

0759 910 641

📍 JET LUMO AIRPORT ( JURIAS NYERERE )
gearbox

Hizi hapa faida na dalili za CVT ikianza kuharibika 0759 910 641
02/04/2026

Hizi hapa faida na dalili za CVT ikianza kuharibika

0759 910 641

Ifahamu CVT tuondokeTunapatikana jet lumo airport 0759 910 641 Mteja anafatwa kwa gharama zake
19/03/2026

Ifahamu CVT tuondoke

Tunapatikana jet lumo airport 0759 910 641

Mteja anafatwa kwa gharama zake

18/03/2026

Usisahau kubadili hii kitu kwenye gearbox baada ya kufanya service

SWIPE
10/03/2026

SWIPE

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT 0759 910 641
08/03/2026

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT

0759 910 641

Ushawai kutokewa na ichi kitu.?Gearbox kumwaga hydraulic, iwe kwa kupasuka pipe au matatizo ya sampHii kwa baadhi ya mag...
06/03/2026

Ushawai kutokewa na ichi kitu.?

Gearbox kumwaga hydraulic, iwe kwa kupasuka pipe au matatizo ya samp

Hii kwa baadhi ya magari mfano NISSAN DUALIS, imewekewa system ya ulinzi kwenye gearbox, endapo ikatokea gearbox imepungua hydraulic itaifanya gari kushindwa kuvuta au kipiga RES / REVVING, ili kuilinda gearbox

Sijajuwa gari zengine k**a zina hii system, k**a unaijua iweke apo kwa comment tujifunze

Endapo ikikutokea hii kitu na upo barabarani unaendesha gari, ukianza kuhisi uzito wa kutembea kwa gari ni heri kupark gari pembeni na uangalie hydraulic level ipoje,
USIIFOS GARI ITEMBEE ❌️

Ukilazimisha gari kutembea ikiwa haina hydraulic nd unapelekea kuunguza CLUTCHES / VALVE BODY.

Tunapatikana
jet lumo nyuma ya AIRPORT 0759 910 641

Muda mwengine munafanya gharama za matengenezo ya gearbox kuwa kubwa ni nyie wenyewe watejaGari ni k**a binaadam ikiumwa...
04/03/2026

Muda mwengine munafanya gharama za matengenezo ya gearbox kuwa kubwa ni nyie wenyewe wateja

Gari ni k**a binaadam ikiumwa inaitaji tiba, ukiendelea kutumia ikiwa inashida matokeo yake madhara uwa makubwa na kuifanya gearbox iharibike kabisa k**a mteja wetu apo juu

Ushauri wangu: ukiona hali usio ielewa kwenye gearbox yako ni heri uwasiliane na sisi tukucheckie ili ujue hali ipoje k**a inafaa kwa matumizi au ujiandae na matengenezo haraka iwezekanavyo

Tunapatikana jet lumo airport
0759 910 641

04/03/2026

0759 910 641

Location JET LUMO / NYUMA YA AIRPORT

02/03/2026
23/02/2026

Address

Jet Lumo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fundi gearbox za automatic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fundi gearbox za automatic:

Share