23/08/2026
Acha kulipia bili ya umeme nje ya
nyumba yako.
Boresha muonekano wa garden, walkway, au uwanja wako kwa Taa za Solar za Kisasa.
Zinajichaji na jua, zinawaka zenyewe usiku, na hazisumbuki na mvua.
Hakuna nyaya wala haja ya fundi umeme.