Jausu Builders

Jausu Builders Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jausu Builders, Well water drilling service, GARAGE, Dar es Salaam.

29/04/2026

Fanya survey kabla ya uchimbaji kisima
💦💧

28/04/2026

27/04/2026

Silazima kuchimba kisima Cha mashine k**a eneo lako linaruhusu kuchimba kisima Cha mkono maana hakuna tofauti.

NB : SURVEY KWANZA

26/04/2026

Unateseka jinsi ya kupata maji safi na salama au unateseka na bili kubwa ya maji au unateseka kutumis gharama kubwa kuchimba kisima haliyakuwa eneo lako linaruhusu kuchimba kisima Cha gharama kidogo Cha KUPEKECHA.

Fanya hivi wasiliana nasi utuambia unapatikana wapi tukuchimbie kisima chako kwa Bei kitonga.

NB: Survey ni muhimu kabla ya uchimbaji kisima

25/04/2026

17/04/2026

12/03/2026

Tunafanya utafiti wa maji ardhini kabla ya uchimbaji kisima mikoa yote ndani ya Tanzania kwa gharama nafuu sana.

04/03/2026

Hivi mpaka Leo bado unapata hadha ya KUWASHA na kuzima pump ,Aisee utakuwa umepitwa sana wasiliana nasi TUKUFUNGIE FLOAT SWITCH SENSOR uishi kifalme.

Address

GARAGE
Dar Es Salaam

Telephone

+255652804141

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jausu Builders posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jausu Builders:

Share