RC UMEME TZ

RC UMEME TZ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from RC UMEME TZ, Plumbing service, Kinondoni, Dar es Salaam.

FUNDI UMEME & A/C
Nyumba, Viwanda, Hotel, Office n.k
SITE VISIT Tsh 30,000
CALL/WHATSAPP 0655651765 & 0748651765
Location es salaam
Instagram
TikTak

06/04/2026
  (Reliable current) Kwa huduma za kiufundi umeme piga au Whatsapp No 0655651765.
15/03/2026

(Reliable current) Kwa huduma za kiufundi umeme piga au Whatsapp No 0655651765.

⚑ RC_UMEME – RELIABLE CURRENT ⚑UMEME WA KUAMINIKA, SI WA MAJARIBIO!🚫 Umechoka mafundi wa kujaribu-jaribu?🚫 Umeme kukatik...
21/02/2026

⚑ RC_UMEME – RELIABLE CURRENT ⚑
UMEME WA KUAMINIKA, SI WA MAJARIBIO!

🚫 Umechoka mafundi wa kujaribu-jaribu?
🚫 Umeme kukatika baada ya siku chache?
🚫 Kazi nusu-nusu zisizo na dhamana?

πŸ‘‰ RC_UMEME TUNAWEKA KIWANGO KIPYA SOKONI
βœ… Kazi safi, imara na salama
βœ… Umeme wa majumbani, viwandani, office & n.k
βœ… Solar systems za kisasa
βœ… Air Condition (Installation & Service)
βœ… Tunaheshimu muda na pesa ya mteja
πŸ”₯ HAPA HAKUNA MAKOSA – KAZI NI UHAKIKA
πŸ”₯ UMEME USIOKUKATISHA BIASHARA WALA MAISHA
πŸ“ž Piga sasa: 0655 651 765
πŸ“² WhatsApp: 0655 651 765

⚑Ubora Unazungumza, RC_UMEME Inathibitisha. ⚑Usihatarishe usalama wa nyumba au biashara yako kwa mafundi wa majaribio!πŸ‘‰ ...
16/01/2026

⚑Ubora Unazungumza, RC_UMEME Inathibitisha. ⚑

Usihatarishe usalama wa nyumba au biashara yako kwa mafundi wa majaribio!
πŸ‘‰ RC_UMEME tunatoa kazi bora, salama na ya kudumu.

πŸ”Œ Huduma Zetu:
βœ”οΈ Ufungaji na matengenezo ya umeme majumbani & viwandani, Office, n.k.
βœ”οΈ Wiring mpya na ukarabati wa wiring chakavu
βœ”οΈ Ufungaji wa taa (ndani & nje), socket, switch n.k.
βœ”οΈ Matengenezo ya hitilafu za umeme
βœ”οΈ Ufungaji wa mita, DB, na mifumo ya kisasa ya umeme.
βœ”οΈ Solar System imara, inayookoa gharama
βœ”οΈ Air Condition (AC)– ufungaji & matengenezo ya kitaalamu.
βœ”οΈ Ufungaji & matengenezo ya Backup System

πŸ’‘ Kwa Nini Uchague RC_UMEME?
βœ… Kazi safi na salama
βœ… Wataalamu wenye uzoefu
βœ… Huduma ya haraka na ya kuaminika
βœ… Bei rafiki kwa mteja.

⚠️ UMEME SI SEHEMU YA KUCHEZEA!
Chagua waliobobea, chagua RC_UMEME.

πŸ“ž PIGA SIMU / WHATSAPP:
πŸ“± 0655 651 765

Kwa Maitaji Ya fundi Umeme & A/C.Tutafute  Tunapatikana Dar Es Salaam Huduma zetu zinakufikia popote ulipo.HUDUMA ZETU πŸ‘‡...
23/12/2025

Kwa Maitaji Ya fundi Umeme & A/C.
Tutafute Tunapatikana Dar Es Salaam Huduma zetu zinakufikia popote ulipo.

HUDUMA ZETU πŸ‘‡
*Tunafanya installation ya AIR Conditions {A/C}
*Wiring za Majumbani, Viwandani, Magorofa, Maofisini na sehemu nyenginezo.
*Tunafanya mifumo ya Sollar System
*Tunafanya mifumo ya Backup system
*Tunafanya mifumo ya circuit plan
*Tunafunga decorations lights {Taa za mapambo}
*Tunabadili mifumo ya zamani na kuweka mifumo ya kisasa.
*Tunachora ramani na kusoma ramani na huduma zengine za kiufundi umeme.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu/sms/whatsapp No 0655651765.
KARIBU CHAGUO LA WENGI.
USHAURI NI BURE

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255655651765

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RC UMEME TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to RC UMEME TZ:

Share