Darwat electrics

Darwat electrics Site visit : Tsh.30,000/=
☎️ 𝟬𝟲𝟱𝟯 𝟱𝟯𝟱 𝟱𝟵𝟱

Karibu Darwat electrics wataalamu umeme wa majumbani na viwandani.Huduma zetu:-

🔵WIRING
🔵INDUSTRIAL & HOME AUTOMATION
🔵SECURITY SYSTEMS
🔵AIR CONDITIONING
🔵SOLAR SYSTEMS
🔵SUBMETERS

29/08/2026

Tumefanikisha kufanya maboresho ya umeme kwenye jengo hili wapangaji Kwa mteja wetu maeneo ya Ungindoni, Kigamboni, Dar es salaam.

✅Tumehamisha DB kutoka chumba Cha mpangaji na kuiweka nje ili Kila mmoja aweze kuipata.
✅Tumefunga submeters za kukata umeme ili Kila mmoja ajitegemee kwenye matumizi.
✅Tumefunga feni kwa ajili ya kipindi kinachokuja cha joto.

Ukihitaji huduma zetu tuwasiliane kupitia:-

☎️ +255653535595

18/08/2026

MAPINGA - BAGAMOYO TUMEANZA KAZI.
Tumelianzisha hapa Kwa mteja wetu zoezi la utinduaji ukuta, Kujengea boxes na kupachika conduit pipes Kwa mpangilio mzuri ili kupata matokeo bora.

Ukihitaji huduma zetu usisite kuwasiliana nasi kupitia:-

☎️0653535595.

17/08/2026

Ni chanzo kipi cha umeme unakitegemea kuendesha vyombo vyako?

Hili ni wazo muhimu linalotusukuma kushauri na kuhakikisha mteja wetu anawekewa mazingira rafiki kipindi cha phase I ili kuja kufunga vifaa vya solar bila kuvunja wala kutindua tena ukuta hapo baadae atakapohitaji.

Ukihitaji huduma zetu wasiliana nasi kupitia:-

☎️ 0653535595

16/08/2026

UNGEPENDA SEBULE YAKO UWE NA VITU GANI UPANDE WA UMEME?

Hii ni design ya kisasa itakayokwenda na wakati na kufanya jengo lionekane la kipekee muda wote.

Tumeanza kufanya Wiring, hili ni zoezi zima la :-
📌Kupangilia boxes na pipes juu
📌Kuvuta waya
📌Kusuka Distribution board (DB)
📌Kufanya connection

Kazi inapangiliwa kwa usafi na kuzungatia usalama wa mali na watumiaji pia.

Karibu kwa kazi safi za umeme wa majumbani na viwandani.
☎️ 0653535595

15/08/2026

Tumeanza kufanya Wiring, hili ni zoezi zima la :-
📌Kupangilia boxes na pipes juu
📌Kuvuta waya
📌Kufanya connection

Kazi inapangiliwa Kwa usafi na kuzungatia usalama wa mali na watumiaji pia.

Karibu Kwa kazi safi za umeme wa majumbani na viwandani.
☎️ 0653535595

15/08/2026

SETUP NZURI YA JIKONI UPANDE WA UMEME.

Kazi iliyofanywa na timu yetu ya ufundi na umeme Kwa mdau wetu nchini Mozambique.

☎️ 0653535595
🇹🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

14/08/2026

Tumeongeza thamani ya jiko kwa kazi safi, yenye viwango na usalama wa hali ya juu.
Kila tulichoweka kwenye jiko hili kitampa mteja amani kwa upande wa mifumo ya umeme.

Kwa huduma ya ushauri na ufundi umeme wa majumbani na viwandani usikose kuwasiliana nasi kupitia:-

☎️ +255 653 535 595

30/07/2026

Umefikia hatua ya kufanya wiring na unahitaji kupata ushauri wa kitaalamu?

Tuone Darwat electrics .

Sisi ni timu ya ufundi na umeme, tunahusika na:-

✅Kutoa ushauri wa kitaalamu kabla ya Ujenzi wa miundombinu ya umeme.
✅Kufanya wiring majengo yote.
✅Kufunga na kutengeneza Air conditioners.
✅Kukarabati wiring chakavu.
✅Kufunga mifumo ya Solar.
✅Kufunga mifumo ya ulinzi k**a CCTV, ELECTRIC FENCE, GATE MOTORS N.k
✅Kusuka starters Kwa ajili ya motors.
✅Kuandaa michoro ya umeme.
✅Kuafanya maombi ya kuunganishiwa umeme.
🚧Tunafanya kazi Kwa kufuata Sheria na taratibu za kiufundi.
🚧Mifumo yetu ni salama, ya kisasa na inaokoa gharama.
🚧Tunatoa dhamana ya ubora na matengenezo baada ya kazi

Wasiliana nasi leo kupitia:-

☎️ 0653535595

🇹🇿

05/07/2026

🚨 SABASABA SPECIAL OFFER! 🚨

Bado unawalipia umeme wapangaji wenzio ambao hawanunui LUKU?

SITISHA HASARA HIYO LEO! ⚡

Kwa kutumia Prepaid Submeter kutoka DARWAT ELECTRICS, kila mpangaji atatumia umeme alioununua mwenyewe. Akimaliza units zake, mfumo unakata umeme wake pekee bila kuwaathiri wapangaji wengine.

Utapata faida hizi:
✅ Hakuna tena kubebana bili za umeme.
✅ Hakuna ugomvi na wapangaji kuhusu LUKU.
✅ Unaona units zilizobaki kwa kila mpangaji.
✅ Mfumo unadhibiti matumizi ya umeme kwa usahihi.
✅ Unalinda mapato yako na kuokoa muda.

🎉 OFA YA SABASABA!

💰 Prepaid Submeter: TSh 130,000 TU 🎁
UFUNGAJI NI BURE!

⏳ Ofa hii ni ya muda mfupi, hivyo usisubiri hadi upate hasara nyingine.

📞 Piga simu au njoo WhatsApp: 0653 535 595

DARWAT ELECTRICS – Tunakuletea suluhisho la kisasa la usimamizi wa umeme kwa nyumba za kupanga, apartments, hostels na biashara.

📲 Tufuate: Facebook | Instagram | LinkedIn | X

Address

Kijichi
Dar Es Salaam

Telephone

+255653535595

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darwat electrics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Darwat electrics:

Shortcuts

Share

Category