25/03/2024
Vigae Bandia vya Kisasa kwa ajili ya Nyumba Yako.
✓ Zimetengenezwa kwa malighafi imara na nyepesi.
✓ Zina ubora wa Kimataifa na mvuto wa kipekee.
✓ Unaweza kuziweka vizuri kabisa hata wewe sio fundi.
✓ Zinakuja na gundi yake iliyokweka tayari, kazi yako kubandua jalada la nyuma na kubandika kigae hiki Bandia.
✓ Kinapendezesha ukuta wako na kuupa sura mpya inayovutia.
✓ Fanya malipo leo na upate aina hii ya vigae, itabadilisha kabisa muonekano wa chumba au Nyumba Yako.
✓ Hainyonyi Maji na wala haishiki moto kirahisi.
✓ Kipimo cha kigae kimoja ni: 56cm kwa 42cm.
Bei: TZS. 8,000/-
✓ Rangi zilizobaki (nyeupe, dhababu, bluu bahati, mchanganyiko, maua, n.k)
✓ Tunatuma mikoani kwa uaminifu mkubwa
Malipo yote yafanyike kupitia lipa namba hii:
5511503.