Mabati Original HQ

Mabati  Original  HQ Karibu sana. Call 0713 418 800.

Karibu Taishan Mabati HQ Hapa ni Makao makuu ya Taishan Tanzania Tunazalisha bati Aina Zote Migongo Miapana Migongo Midogo, Torino ( Versatile ), Milano ( Romantile ) Tunakujali Mteja wetu.

29/08/2025

Ni fahari kwa kila mjenzi anapoezeka nyumba yake na bati bora na kudumu kwa muda mrefu, tunakuthibitishia hili kwa kukupa bati Imara ambazo tunaagiza Roller/Malighafi (Material) imara ya kiwa na rangi yake Original ambayo yanavumilia bila kupauka wala kushika kutu,

Ukinunua kiwandani kwetu utapata zawadi ikiwemo:
① Misumari ya bure kuanzia kg 5...kuendelea
② Kofia au Valley bure kuanzia 2.....kuendelea
③ Usafiri bure kwa mikoa yote
④ Ushauri bure juu ya ujenzi bora

Fika kiwandani kwetu Buguruni chama/sheli Dar es salaam.
K**a upo mkoani agiza ndugu au rafiki ambaye atafika kiwandani kukuwakilisha ndipo ulipie na tutatuma bati zako kwa gharama za kiwanda.

Tupigie simu: 0713 418 800.

13/11/2024

PROFILE: IT 5
WIDTH: 87CM
COLOR: C/Grey
GAUGE: 30G (0.25mm)
CATEGORY: Special Order.
LOCATION : Moshi

⚡0713 418 800.

11/11/2024

PROFILE: IT 5
WIDTH: 80CM
COLOR: C/Grey Matte
GAUGE: 30G (0.25mm)
CATEGORY: Special Order.
LOCATION : Dodoma

⚡0713 418 800.

08/11/2024

PROFILE: TORINO MATTE
WIDTH: 92CM
COLOR:B/red
GAUGE: 30G (0.25mm)
CATEGORY: Special Order.

🔸Call 0713 418 800
Location : Muleba Bukoba.

27/09/2024

Mabati ya Taishan yana sifa kuu ambazo zinakufanya mteja ununue kwetu tu.

1. Hupunguza Gharama za Ujenzi, Mabati ya Taishan yana upana mkubwa tofauti na mengine hivyo yanafanya ununue mabati machache tofauti na unaponunua mabati yenye upana mdogo utatumia maabati mengi.

2. Teknolojia ya Rangi isiyopauka, Mabati ya Taishan yanatengenezwa kwa Teknolojia kubwa ya hali ya juu ambayo inafanya mabati yetu yasipauke.

3. Mwonekano, Mabati yetu yametengenezwa kwa ubunifu wa mwonekano wa kuvutia ambapo tuna Rangi zaidi ya saba ambazo baadhi yake hakuna kwengine.

4. Tunamjali na muda wake, Ukija kununua Mabati tunajali muda wako hivyi haukai muda mrefu kusubiria mabati yako.

Tupigie simu; 0769 524 545.
Weka oda yako sasa!

02/03/2024

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mabati Original HQ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share